Mimi washabiki kama wwe huwa siwapendi kabisa, mtu unashabikia kwa lugha za matusi ili iweje? Why dont you put ur analysis logically kama mpenzi wa mpira? Mambo ya mashoga tena hayo yote ya nini? Ndo mana bongo mpira wetu hautaendelea kwa sababu sisi wenyewe hatujui ushabiki!
kwa kheri manchester united!
Mimi washabiki kama wwe huwa siwapendi kabisa, mtu unashabikia kwa lugha za matusi ili iweje? Why dont you put ur analysis logically kama mpenzi wa mpira? Mambo ya mashoga tena hayo yote ya nini? Ndo mana bongo mpira wetu hautaendelea kwa sababu sisi wenyewe hatujui ushabiki!
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wote wanaoshabikia timu ya mashoga nao ni mashoga ...... nasikia kuna Invisible ameondoa ukweli hapa ... .. jifarijini tu where we dare talk openly khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee.
Kumbe hawapendi ushoga hadharani lakini kwa siri nao wamo .... phew! Kazi kubwa ... .... ...
Can't wait for this fixture.
The Special One will make the half of the City of Manchester un-special as he did to the other half of the City
kule uropa cup watakutana na atletico falcao.Usijali mwana mzunguko wenu wa yuefa kapu lasti 32 upo mwana. Ila kwa sasa fokasi na EPL mwana achana na vingine
Dah! Hi gem ya madrid na Man u jamani hapa kiama kimefika kiukweli..
Kiama cha nani mkuu?
Sawa uncivilized little fellow...now i realize you are more of a homophobic than a football fan.
What happened btn Scholes and Neville was just a silly moment of madness,it is about time you get over it.
Anyway you can continue making a fuss out of it,this little obsession of yours might have even deeper roots.
walizidiwa ujuzi mkuu!!na pia walikuja wakiwa na over confidence!Wapaki mabasi wanaharibu ladha ya mpira...kabisa!wale wangecheza kama kawaida watafute goli moja au draw wasingefikia hapo walipo!