Mkuu Arsene haya ndio matokeo tuliyokuwa tunayasubiri kwa hamu sana. Asante Inter Milan na Mourinho. Sasa presha kwa Barca. Hivi leo nikitabiri kwamba Barça wanaweza kumaliza msimu huu bila kombe nitakosea? Naziona dalili hizo maana wana Inter, Sevilla, Villareal kusevu msimu wao.
Ngosha tangia lini umeanza kuichukia Barca ? Let me guess..lil' Messy..lolSafi sana Inter.................hahaaaaaaaaaa
Thats Jose Mourhino! Kipigo cha mbwa mwizi alicho kipata Arse Anal toka kwa barcelona leo mumemrudishia, kumbukeni huyo Mourhino alikuwa manager wa Chelsea
Ngosha tangia lini umeanza kuichukia Barca ? Let me guess..lil' Messy..lol
Nachelea goli la tatu ni offside ya wazi kabisa.
Hapana Mpemba.......Nina timu karibu kila ligi kubwa Ulaya....EPL-England Arsenal,Serie A-Italy Juventus,Bundesliga-Germany Bayern Liverkusen,Eredivisie-Nethrelands Ajax na La Liga-Spain Real Madrid(ni mnazi na mshabiki wa timu hii kitambo sana......hope utapata jibu hapa).........So Barca nawachukia hata kabla Messi hajatia timu........tangu enzi za akina Romario,Stoichkov,Ronaldo,Guardiola,Kluivert,Rivaldo,Luis Enrique n.k.........By the way pole kwa kichapo cha Rossoneri from Sampdoria
aa.h sio mimi tu niliyeona..from neutral perspective kila mtu ameona, hata mtangazaji wa FSC alifananisha na goli la Klose dhidi ya Fiorentina. Uzushi mtupu. Hata hivo Inter ipo kwenye dozi ya panadol, na punde si punde maumivu yatawarudia J5.Endelea kuchelea tu Mpemba......hahaaaaaaaaaaaaa
Rossoneri wakati ligi inaanza mlianza kumchulia Leonardo kua timu itashuka daraja wakti ule Kibibi Kizee cha Torino kilikuwa kinang'aa karibu na kileleni..Sasa angalia sasa hivi kilivo hoi, hakina hata matumaini ya kushiriki yuropa ligi ya akina livafool..lol
Safi sana Inter.................hahaaaaaaaaaa
aa.h sio mimi tu niliyeona..from neutral perspective kila mtu ameona, hata mtangazaji wa FSC alifananisha na goli la Klose dhidi ya Fiorentina. Uzushi mtupu. Hata hivo Inter ipo kwenye dozi ya panadol, na punde si punde maumivu yatawarudia J5.
GO IBRA.
na wewe hahaha
labda uchovu utachangia wamesafiri kwa basi masaa 14!!
Hahaaaaaaaa,pole dada yangu...nilitabiri ushindi kwa Nerazzurri tangu jana(angalia post namba 2 ya thread hii.....)..........