Duuh! Mwaka huu tutasikia mengi sana mpaka kufikia hii mechi, ni kama vile vijimambo mwaka wa uchaguzibongo! Huu uteja unaoongelea umeanza lini mkuu??!! Maana statistic zinaonyesha Arsenal hajawahi kuwafunga Barcelona, ni kipigo tu wamepokea Arsenal, sasa nani mteja hapo?[/QUOTE]
Hahahahahahah Mkuu mpira si kama hesabu kwamba 2+2 siku zote ni nne!!!, nani alijua BARC watawaadhiri nyumbani kwenu!? hivyo usije ukakimbia jukwaa siku ya siku hahahahahaha. Nyie sasa hivi elekezeni nguvu zenu zote kwenye EPL vinginevyo mnaweza mkatoka kapa...🙂

Swali lilikuwa, nataka kujua huo uteja uliosema umeanza lini?! Ndio maana nikaongea kuhusu statisic, na si vinginevyo....😎😎
Balantanda kuwatoa Barca kwenye game za mtoano ni rahisi sana ,na mara nyingi wanapata tabu wakikutana na timu za England kwenye hatua za mtoano nafikiri unakumbuka walitolewa na Liverpool then Man U hata Chelsea bila makosa ya yule refa .Kuwatoa Barca inahitaji kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu pia muwe na defence ngangari na msifanye makosa ya kitoto na hili ndilo tatizo kubwa kwa Arseanal .Timu ya kuiogopa kwa sasa ni Inter Milan ya Mourinho naona hawa jamaa wana nafasi kubwa ya kufika fainali.Tunawatakia mema muwatoe Barca then tukutane fainaliHawa jamaa mi siwaogopi wala nini...Kama unakumbuka hata ile game ya fainali ilikuwa yetu sema ndo hivo,muda mwingi tulicheza tukiwa 10 uwanjani(Lehman alipewa red card dakika ya 18 tu) na tumeongoza muda mrefu kwa goli la Campbell la dakika ya 37....jamaa walikuja sawazisha dakika ya 76 na kutuongeza la 2 daika ya 80 tukiwa 10 uwanjania...Anyways,ni historia hiii tayari...Hawa jamaa tutawamudu tu(wanalijua hilo) maana hata form yao kwa sasa kwenye La Liga sio nzuri kiviiiile
Nasikia mmepangwa na Madrid EUROPA CUPsomething is wrong upstairs!
Nasikia mmepangwa na Madrid EUROPA CUP
Huo sasa utani kaka!!?Benfica imekuwa madrid?!...Najua wapenzi wa madrid imewauma sana kuikosa hii robo kama wangesonga wangalikutana na Borde...
Inter wanashinda leo, 2-0
tuombe wasiogopane kama mechi ya kwanza kwenye makundi.Barcelona 2-1inter milan