UEFA Champions league last 16 Draw

iCode

JF-Expert Member
Oct 16, 2013
758
439
Wapenzi wa soka leo tunapata kufahamu nani atakutana na nani kwenye mashindano ya UEFA.

Muda huu draw inafanyika

attachment.php
 

Attachments

  • CWLqrk5WwAAJjzW.jpg
    CWLqrk5WwAAJjzW.jpg
    35.4 KB · Views: 982
  • CWLryIgUYAAKuqL.jpg
    CWLryIgUYAAKuqL.jpg
    31.9 KB · Views: 1,729
Dynamo kyiv vs manchester city
11:20 gmt
benfica vs zenit st petersburg
11:19 gmt
psv vs atletico madrid
11:18 gmt
juventus vs bayern munich
11:17 gmt
arsenal vs barcelona
11:17 gmt
psg vs chelsea
 
Bora mwongee saiz maana mda ukifika hamta kuwa na chakuongea

eheee...!! hayo ni yako mkuu, binafsi naiamini sana timu yangu, tena sasa consistency tunayo ukilinganisha na misimu mingine huko nyuma japo sometimes huwa tuna sua sua!! lakini tuko vizuri, na siku hiyo hamtaamini hivi unafikiri barca akicheza na sisi huwa anacheza anavyotaka na kudominate kma anavyocheza na man u au chelsea!!?
sasa subiri ujionee labda majeruhi tu ndio yatuletee mkosii
 
England kwa sasa mpira ni pesa, si vipaji. Watafungasha mapemaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom