Super League rasmi sasa Ulaya

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,527
14,403
BREAKING NEWS Mahakama ya Ulaya imeamua kuwa UEFA na FIFA zilichukua hatua kinyume na sheria ya mashindano kwa kuzuia kuanzishwa kwa Super League mwaka 2021 na sasa ni Halali kuanzishwa.

......Mkurugenzi mtendaji wa Super League Bernd Reicart amethibitisha hatua hiyo na kusisitiza sasa mashindano ya Super League ni Halali na hakuna tena Zuio kutoka FIFA Wala UEFA Ni Uamuzi sasa wa Vilabu kuamua hatima yao hakuna tishio lolote.

......Vilabu husuka vya mashindano hayo vitashiriki bure na Mapato watapewa bila shida pia Super League imewahakikishia mashabiki wa timu hizo watatazama mechi zao bure pasina kutoa kiingilio

Source Super League.
 
Kutazama mechi bure mmmh wanawavutia kina kirefu hapa
 
Sio rahisi hivyo

Perez hawezi kutoboa bila kuungwa mkono na vilabu vya uingereza

Na Rais wa uefa amewaambia spain wanaweza wakacheza watakavyo lkn sisi haituhusi
 
Siku zinakimbia hatari lile songo songo kumbe ilikuwa 2021? Aisee kama juzi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom