Udukuzi!!...ndani ya Chit Chat!

Last edited by a moderator:

hahahaaa!!acha watu wadukuliwe bana
kwa raha zao wadukuane,mi napita naenda kwny kampeni!!
 
Udukuzi noma mkuu, hivi inakuja kujulikana eti namtonngoza shansarie PM, au kwamba pamoja na makelele yoote Chocs anamsaliti Erickb52, na in fact anakula na kupakua kwa Baba V, hapa si majanga

Duh..! umeishainyaka nini Kaizer ???, ina maana sio siri tena? duh.. Chocs kimenuka huku tucheki utaratibu mwingine..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…