Udukuzi mpya umeingia Tanzania

Udukuzi mpya umeingia Tanzania

Kuna mtu katoka kupigwa milioni mbili muda huu kwenye account yake ya airtel money. Kachanganyikiwa.


Jamani Tuweni makini
Tueleze kapigwa kivipi ili tuchukue tahadhari mkuu.
Wametumia ujanja gani hao wezi
 
Mkuu up right kabisa. Kuna wahuni kwwnye mitandao ya simu wanaingilia mawaailiano ya watu. Hiki ulichosema kiliwahi kunitokea. Kuna dogo nilikuwa nimtumie pesa, tukakubaliana nimtumie asubuhi ya siku inayofuata. Kufika asubuhi nikapokea sms ile peaa tuma kwenye ××××××× jina fulani.
Nikampigia yule dogo akasema ajatuma hiyo namba nitume kwenye namba yake.

Kwwnye makampuni ya simu kuna wahuni.
Mzee hii kitu hujaizoea kabisa . Wala usiwlaumu wenye mitandao
Wanachofanya hawa wezi ni kubuni namba kisha wanasend one msg to many
So wanabahatisha yaani wanatupa jiwe gizani litakalompata ndo huyo.
Usifikiri wanajua eti kwamba unataka kutuma pesa muda huo
 
Fake news. Ni hekaya zaidi ya zile za Abunuwasi
 
Asante sana kwa taarifa, ila nasema ivi, watapata tabu sana kwangu. Sipendagi ujinga.

Niliwahi kupigiwa simu na majamaa wakajifanya Customer care wa tigo masuala ya tigo pesa, wakasema kuwa kuna pesa imetumwa kimakosa kwangu kwaio walitaka niirudishe. Nikamwambia jamaa straight forward, waambie tigo wanipigie kwa namba yao sitaki upuuzi, jamaa akaonekana kamaindi na kulazimisha kuwa yeye ni upande wa tigo pesa, nikamwambia kuwa waambie tigo wapige kwa namba yao ya ofisi!!

namba ni hii 0659 535 808
 
Kipi kina ushusha mtandao? Huyo mdukuzi gani ana capability ya ku shusha na kupandisha network kwa mteja mmoja tu? Huo uwezo ana utoa wapi na kiaje inawezekana?
Na kama kunakuwa no signal wewe unapataje acces ya kuwasiliana nae kama no signal?
Nimependa maswali yako ni mubashara sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kna watu mnabisha Kuhusu utapeli Mnasema Mpaka iwatokee Itz Ok ngojeni Watu wanajipanga Na mikakati ya Kuja na Njia mpya Kila Siku sasa unapopewa taarifa Unapuuzia Endelea kupuuzia ukilizwa Cjui utaificha wapi hio aibu.
Kampuni za simu zinayo wajibu kutaharadhisha wateja utapeli huu.Mbona wapo kimya?
 
Back
Top Bottom