Udukuzi mpya umeingia Tanzania

Udukuzi mpya umeingia Tanzania

Swali kwa Mtoa mada
Navojua Mtandao wa Tigo ulikuwa Unakubali swap sijajua kwa sasa lakini pia baada ya kuswap Namba yangu ya siri inabakia palepale iweje hao Wadukuzi waje watoe hela yangu iliyopo kwenye account yangu.. Kwamba hao jamaa wanauwezo wa kupata mpka PIN zangu???....
Nahisi baadhi ya watu wa mitandao husika watakua wanahsika hapo.....
 
Bob Kwani matapeli wengi wa mtandao wanaanzia wapi? Si huko huko,kwanini yule wa voda asikamatwe kama yeye hali saani 1 na watu wa voda? Akili kichwani
 
Mkuu up right kabisa. Kuna wahuni kwwnye mitandao ya simu wanaingilia mawaailiano ya watu. Hiki ulichosema kiliwahi kunitokea. Kuna dogo nilikuwa nimtumie pesa, tukakubaliana nimtumie asubuhi ya siku inayofuata. Kufika asubuhi nikapokea sms ile peaa tuma kwenye ××××××× jina fulani.
Nikampigia yule dogo akasema ajatuma hiyo namba nitume kwenye namba yake.

Kwwnye makampuni ya simu kuna wahuni.
Tatizo nahisi ni watu walioko kwenye makampuni ya simu wengi wamewekwa vijana ambao wanalipwa kidogo hivyo wanajikuta wanashirikiana na matapeli.
 
Kipi kina ushusha mtandao? Huyo mdukuzi gani ana capability ya ku shusha na kupandisha network kwa mteja mmoja tu? Huo uwezo ana utoa wapi na kiaje inawezekana?
Na kama kunakuwa no signal wewe unapataje acces ya kuwasiliana nae kama no signal?
We jiulize swali kwanini line zinanamba zake tokea viwandani lakini ukienda kurenewal au kuomba special namba unatengenezewa kwa kutumia simcard yenye namba ya kiwandani
 
Hatubishani apa boss ili ni jukwaa la Tech na wataalamu wapo humu wa fani husika za mawasiliano, Ujinga uliopo ni huo wa hela tuma kwa namba hii and not otherwise , Mnapoleta takataka tech huku mjue kuna watu ni professional zao ivo msipoteshe.
Msibishanie technolojia mlizoletewa na wazungu, we unauwezo wa kutengeneza line ya simu? Hacking zenyewe zinasababishwa na waliotengeneza hivyo vitu sisi wa kuiga tu
 
Mkuu science iko open tu We unafikiri hao wazungu ndio wanaendesha hii mitambo nchini humu, Foundation na manguli wa science walikuwa uingereza lakini angalia china,Japani, India,Us wako wapi saivi hio sio political science jamaa, Line professional wa telecom wanaeza kutengeneza
 
Msibishanie technolojia mlizoletewa na wazungu, we unauwezo wa kutengeneza line ya simu? Hacking zenyewe zinasababishwa na waliotengeneza hivyo vitu sisi wa kuiga tu
We jamaa una taalamu gani kwanza kwahiyo ukiona mtu anaenda chaka na wewe mwenye ujuzi wa iko kitu upo hutamsaidia kisa tu sio chako na kimetoka abroad? Haya mkuu nimewapa Go ahead muendelee kulishana Pumba akili zimelala sana
 
Shangaa wewe ....Facebook imehamia huku sikuhizi

...sikuwa nimeelewa kabisa ila nashukuru nimejiongezea maarifa namna ya kuandika shukrani kiufupi. Sisi wa simu za barua tuna safari ndefu mdau
 
Kwa Watanzania wote wanaoutumia simu za mkononi, hii ni kwa ajili yenu na naomba uwe makini uisome habari hii na kuielewa.

Huu ni wizi mpya wa kutumia teknolojia ambao umeingia mjini kwa kitaalamu wanauita “Swim Swap Fraud” na kuna baadhi ya watu katika eneo letu la Afrika Mashariki tayari wameshalizwa.

Jinsi unavyofanya kazi

1

Mtandao kwenye simu yako unapotea ghafla, unaona imeandika “No Signal au Zero Bars” halafu baada ya muda unaona simu inaingia.

2

Hiyo namba iliyokupigia simu unakupa huifahamu na inaweza kuwa ya mtandao wowote Tigo/Airtel/Halotel/TTCL/Vodacom na kadhalika kutegemea unatumia mtandao upi ambao muda huo sasa ndio unakuwa umekumbwa na hiyo shida ya kupotea potea kwa mtandao.

3

Huyo aliyepiga anatakuambia kwamba kuna tatizo la mtandao kwenye simu yako na wewe utakubali kwa sababu kweli kuna tatizo. Atakuelekeza kubonyeza 1 ili tatizo la mtandao kwenye simu yako liweze kutatuliwa.

Akikupa maelekezo hayo usifanye lolote, kata simu.

Kwa sabbat utakapobonyeza 1, mtandao wako utarudi ghafla na kisha kupotea (zero bars) na kwa kitendo hicho simu yako inakuwa imedukuliwa (hacked).

Wizi huu unaongezeaka siku baada ya siku na kama una fedha kwenye akaunti yako ya simu (Tigo Pesa, Airtel Money, etc) basi zote zinatolewa.

Baada ya tukio hilo wewe utaona tu simu yako shida ni kwamba haina network lakini tayari wakati huo line yako ya simu inakuwa swapped na taarifa zote kwenye line yako anakuwa nazo huyo aliyefanya tukio. Tatizo hapa ni kwamba hutapata taarifa zozote za kufanya kwa miamala ya aina yoyote kupitia simu yako kwa hiyo kwa wale wanaotumia USSD na Mobile Banking kuweni makini.

Wizi mwingine ambao umeshamiri sasa ni ule wa mut kukutumia meseji kama “Ile hela tuma kwenye lamba hii”, na wewe badala ya kucheki kwa makini unatuma. Jiridhishe wapi unatuma hela na kwa nini kwa sababu wengi wameshakuwa wahanga na hili si kosa la mitandao ya simu bali watumiaji. Teknolojia inaleta faida kubwa lakini pia inawapa wahalifu nafasi, tuwe makini na matumizi ya simu zetu.
Chanzo ni [emoji117] swahilitimes
Nashukuru kiongozi
 
We jamaa una taalamu gani kwanza kwahiyo ukiona mtu anaenda chaka na wewe mwenye ujuzi wa iko kitu upo hutamsaidia kisa tu sio chako na kimetoka abroad? Haya mkuu nimewapa Go ahead muendelee kulishana Pumba akili zimelala sana
We unambishia kivipi? Cyber technology ni balaa sana, kajifunze uchaguzi wa USA 2000 Al gore na Bush jimbo la Florida jinsi jamaa walivyohack mtandao
 
Huo utapeli wa tuma kwenye namba hii labda wampige bibi sengerema huko sio mimi.
Unakuta mtu una hustle kusaka do af utume pesa kiduanzi wtf!
 
Kwa Watanzania wote wanaoutumia simu za mkononi, hii ni kwa ajili yenu na naomba uwe makini uisome habari hii na kuielewa.

Huu ni wizi mpya wa kutumia teknolojia ambao umeingia mjini kwa kitaalamu wanauita “Swim Swap Fraud” na kuna baadhi ya watu katika eneo letu la Afrika Mashariki tayari wameshalizwa.

Jinsi unavyofanya kazi

1

Mtandao kwenye simu yako unapotea ghafla, unaona imeandika “No Signal au Zero Bars” halafu baada ya muda unaona simu inaingia.

2

Hiyo namba iliyokupigia simu unakupa huifahamu na inaweza kuwa ya mtandao wowote Tigo/Airtel/Halotel/TTCL/Vodacom na kadhalika kutegemea unatumia mtandao upi ambao muda huo sasa ndio unakuwa umekumbwa na hiyo shida ya kupotea potea kwa mtandao.

3

Huyo aliyepiga anatakuambia kwamba kuna tatizo la mtandao kwenye simu yako na wewe utakubali kwa sababu kweli kuna tatizo. Atakuelekeza kubonyeza 1 ili tatizo la mtandao kwenye simu yako liweze kutatuliwa.

Akikupa maelekezo hayo usifanye lolote, kata simu.

Kwa sabbat utakapobonyeza 1, mtandao wako utarudi ghafla na kisha kupotea (zero bars) na kwa kitendo hicho simu yako inakuwa imedukuliwa (hacked).

Wizi huu unaongezeaka siku baada ya siku na kama una fedha kwenye akaunti yako ya simu (Tigo Pesa, Airtel Money, etc) basi zote zinatolewa.

Baada ya tukio hilo wewe utaona tu simu yako shida ni kwamba haina network lakini tayari wakati huo line yako ya simu inakuwa swapped na taarifa zote kwenye line yako anakuwa nazo huyo aliyefanya tukio. Tatizo hapa ni kwamba hutapata taarifa zozote za kufanya kwa miamala ya aina yoyote kupitia simu yako kwa hiyo kwa wale wanaotumia USSD na Mobile Banking kuweni makini.

Wizi mwingine ambao umeshamiri sasa ni ule wa mut kukutumia meseji kama “Ile hela tuma kwenye lamba hii”, na wewe badala ya kucheki kwa makini unatuma. Jiridhishe wapi unatuma hela na kwa nini kwa sababu wengi wameshakuwa wahanga na hili si kosa la mitandao ya simu bali watumiaji. Teknolojia inaleta faida kubwa lakini pia inawapa wahalifu nafasi, tuwe makini na matumizi ya simu zetu.
Chanzo ni [emoji117] swahilitimes
Nimeipata hii inf.usku nikamtumia wife muda ule ule,leo asubuhi kapigiwa simu na mtu anayejiita yuko makao makuu airtel kaulizwa maswali hayahaya kwa vile alikuwa na taarifa amemwambia acha utapeli jamaa kakata simu mwenyewe,nashukuru sana kwa taarifa maana leo sijui kama wife angesalimika na hii technique.
 
Hapo kwenye Kuchkuliwa Pesa kwenye M-pesa Au Tigo Pesa Au Airtel Money siwezi nkakubaliana nalo Mkuu(I mean it's impossible) maana hiyo ni sector inayo jitegemea na ipo more Secured labda Hiyo Hacker awe na Namba ya Siri unayotumia
 
Back
Top Bottom