Udukuzi mpya umeingia Tanzania

Udukuzi mpya umeingia Tanzania

Mkuu Kitu gani kinachoweza kushusha bars za network yako kama sio Provider wako? Labda huyo mharifu afanye jamming ya signal kitu ambacho kitamtoa nae kwenye covarage hizi sms za kuforwadia kuna muda hazina logic kabisa huko fb ndio zimwjazana sijui share sijui vile ni Ujinga tu
SOMA UZI JAMAA ALIVOANDIKA HAJASEMA KWAMBA MESEJI INA SHUSHA RADIO ILA UNAPIGIWA NA NAMBA ILE IKIWA TAYARI NAMBA YAKO WASHAIFANYIA MAFYEKECHE
 
SOMA UZI JAMAA ALIVOANDIKA HAJASEMA KWAMBA MESEJI INA SHUSHA RADIO ILA UNAPIGIWA NA NAMBA ILE IKIWA TAYARI NAMBA YAKO WASHAIFANYIA MAFYEKECHE
Yani mtandao upotee no signal afu simu iingie?? Mkuu nime update post yangu kidogo hii uli quote eti bars za network zinashuka na kushuka kwahiyo zinashuka kwa watu wote ktk hilo eneo au ni kwako tu targeted person?
 
Kwa target Person mzeee
 
Kwa target Person mzeee
Kipi kina ushusha mtandao? Huyo mdukuzi gani ana capability ya ku shusha na kupandisha network kwa mteja mmoja tu? Huo uwezo ana utoa wapi na kiaje inawezekana?
Na kama kunakuwa no signal wewe unapataje acces ya kuwasiliana nae kama no signal?
 
Heeee. UNAUMWA Sio bure Ok tumia dawa ila Tatizo likizidi Muone daktari au tembelea kituo cha afya kilicho karibu nawe. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Heeee. UNAUMWA Sio bure Ok tumia dawa ila Tatizo likizidi Muone daktari au tembelea kituo cha afya kilicho karibu nawe. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Vitu vingine havihitaji uwe Rocket scientist kungamua kuwa ni Changa haya mkuu, Endelea kushare Pumba hizo uokoe ndugu zako Wavivu wa kufikiri
 
Vitu vingine havihitaji uwe Rocket scientist kungamua kuwa ni Changa haya mkuu, Endelea kushare Pumba hizo uokoe ndugu zako Wavivu wa kufikiri
We subili ikikutokea ndo Uta prove now fanya kama iko Pending ila Usipende Kubisha
 
We subili ikikutokea ndo Uta prove now fanya kama iko Pending ila Usipende Kubisha
Hatubishani apa boss ili ni jukwaa la Tech na wataalamu wapo humu wa fani husika za mawasiliano, Ujinga uliopo ni huo wa hela tuma kwa namba hii and not otherwise , Mnapoleta takataka tech huku mjue kuna watu ni professional zao ivo msipoteshe.
 
Jana kuna Dada nilikuwa nachat nae.
nikamwambia ntakutumia hela.
ghafla ikaingia meseji namba mpya.
Hyo meseji Inasema.
Itume kwenye namba hii iyo pesa 0756833929.uwe makini Jina litakuja deus kutumwa.
Machale yakanicheza.nikampigia Yule Dada nikamuuliza una namba ngapi? Mbona kuna namba imeingilia chat yetu.?akasema sijui hiyo namba.
Nikawaza sana.nikasema wafanyakazi wa tigo wanaingilia meseji zetu na wanazisoma.
Alijuaje kama mimi nachat na mtu na ninataka nimtumie HELA?
Kuna badhi ya wafanyakazi wa makampun sio waaminifu
 
Aina nyingine ya utapeli ni ule wa kutumia spoof software kutuma texts kwa number exactly na yako may be namba ya mtu wako ambayo umesave unashangaa inakuja text ambayo hujasave namba yake ila ni ile ile, Cha kufanya kama text huielewi wewe kimbilia kuangali center number mwishoni utajua tu kuwa hawa ni scammers or otherwise
 
Bob Kwani matapeli wengi wa mtandao wanaanzia wapi? Si huko huko,kwanini yule wa voda asikamatwe kama yeye hali saani 1 na watu wa voda? Akili kichwani
 
Back
Top Bottom