First year mna vituko sana nyie.
Unapata wasiwasi yanini?
Nenda chuo uhudhurie Orientation course mpaka inaisha utakua ushajua kila kitu, kuhusu ada, kiasi gani umepata, kuhusu chumba/block gani umepangiwa, time table ya masomo, venues za kusomea na mazingira yote ya chuo utakua ushayajua.
Sasa nyie mko humu full pressure utadhani mmechaguliwa ughaibuni kwamba hamna nauli ya kwenda
Chuo kikuu ni taasis kubwa yenye mipangilio yake, wanajua kabisa kwamba kuna watu hawana ndugu Dsm na hawajawahi kufika Dar.Mimi natoka kijin na mjin Sina mjomba wala ndg sa nkfka then mambo hayaeleweki ntaishje kila sku guest Mzee at most kwa sku 3 mtu anaweza ila a week to a week's my friend tena Naskia mujin kila kitu pesa we...
Chuo ni kuanzia tarehe 3 jumamosiKweli fanya maamuz tu..
Then Hiv chuo knafunguliwa j3 au j mos
WoteOK hapo sawa ila ufafanuz plz chuo n juma mos kwa wote au baadhi ya course
We una wenge sana sijui nini kinakuchanganya.OK hapo nmekuelewa Mkuu ngoja sasa nikate ticket sa wadau Nimeona utofaut Wa hostel's fee sjui kwann na wap Huwa Ndio kuzur
Pia ukija njoo na akili zako pia, akili utakazozikuta huku achana nazo.We eleza utofauti c kasema wenge Kama ww wajua bas n busara kutujuza na sisi ili tujue utofaut.. Mm dar Sjawah kufka sasa c inabd Niwe na pre information