UDSM yashuka kwenye list ya 'Top African universities'

Inasikitisha sana.. Vip kuhusu walivyosema wanataka udom ndio ipande rank mpaka leo chali! Na pia Hata bodi ya mkopo inahusika hapa kwani wanafunz wanahitaji pesa pia za kujikimu.. Pia tatizo hatuboreshi vyuo vyetu, mpaka vianguke ndio tunakumbuka. Ila bado tu natamani nipangwe udsm ila TCU MPAKA LEO HAWAJATOA MATOKEO!

Hyo ranking ni fake,udsm haiwezi poromoka kwa kiasi hicho bana.

Inasikitisha sana.. Vip kuhusu walivyosema wanataka udom ndio ipande rank mpaka leo chali! Hata bodi ya mkopo inahusika hapa.. Pia tatizo hatuboreshi vyuo vyetu, mpaka vianguke ndio tunakumbuka. Ila bado tu natamani nipangwe udsm ila TCU MPAKA LEO HAWAJATOA MATOKEO!

karibu sana dogo..

Nimesikitika sana kutoona SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE (SUA), Yaani hata 100 bora za Africa hakipo. kimeshindwa na vyuo vya Malawi na Sudan. Duuuuuu!!!!:A S 20::A S 20:

Hyo ranking ni fake,udsm haiwezi poromoka kwa kiasi hicho bana.

kweli kabisha ushaidi huu hapa http://www.naijapals.com/modules/naijapals/education/updated-list-of-best-universities-in-africa-with-unilag-topping-9ja%27s-list/

Nimesikitika sana kutoona SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE (SUA), Yaani hata 100 bora za Africa hakipo. kimeshindwa na vyuo vya Malawi na Sudan. Duuuuuu!!!!

usilie piga moyo konde. Nadhani kitakuwa cha 150000 kidunia.. Heheheee! :) ;)

Inasikitisha sana wadau.
we need to do something zaidi ya kulaumiana.
ushauri,wana jamii tuandae kongamano la waliopita au waliopo usdm tutafakari nini cha kuwashauri wana magamba jinsi ya kuokoa taaluma yetu.

Imetoka C.I.A na hakuna asiyewajua hawa jamaa kwa research zao.. Top 50 African University Rankings na ukichek utakuta ni cha 22 kama web yangu ile iliyopita inavyosema.

Mimi sishangai kwani hakuna juhudi zozote tulizofanya kumaintain au hata kuonyesha tunataka kupiga hatua...macho ya serikali yalihamia UDOM..no upgrading..facilities hazitoshi, wanalazimisha wanafunzi wagome, walimu not commited as wako kufanya other businesses..ila nawapongeza UDBS kwa kuonyesha mfano.. nadhani tunakosa umakini na Elimu,na badala ya kilimo kwanza tungeanza na Elimu kwanza..Naomba kuwasilisha

HIYO RANK NI FAKE.. UDSM HAIJAPOROMOKA HIVYO KIMEKUWA CHA 22 AFRICA.. Updated list of best universities in Africa with Unilag topping 9ja's list | Nigeria

dah!!lakn 2na hali mbaya,naona SUA wana2fukuzia kwa kasi ya ajabu balaaa..

Tatizo hizi ranks zinatofautiana, hatujui tumwamini yupi...ila tutabaki kuamini kuwa tunashuka!

kushuka kwa elimu ya tz ni kutokana na wahadhiri kutokusaminiwa , iweje Mbunge anayepiga kelele za NDIOOOOO ! apewe mil 12 per month ,
wakati huo Prof yeye ameweka mgomo kisa hafaidiki na mafao yake .
Hata huo utaalam tunao utafuta umepungua sana thamani yake hapa tz kwa sababu mambo yote siku hizi ni "kimjini mjini" , mwanafunzi akiwa na "mjomba" yuko kwenye system , hana shida ya kujua sana sababu kazi tayari anayo tena yenye marupurupu ya kutosha.
Iweje mtoto wa diploma wa TRA apate fedha sawa na Dr wa UDSM ? huu ni mwanzo tu wakuu ........

UDSM hatufichagi vitu, na ndio mahali ambapo mabadiliko mengi hasa ya wanafunzi wa elimu ya juu huanzia. Kutokana na hilo viongozi wa serikali akiwamo baba Ridhi wanafikiri kuwa UDSM students wanafujo, muda fulani wakatuita wahuni, wakati mwignine wahadhiri wetu wanaambiwa wanafundisha siasa madarasani badala ya masomo husika. Kutokana na hayo serikali inakitenga sana UDSM. Mimi nnamaliza mwaka huu wa nne Bsc. Computer Engineering & IT sijaona hata mara moja presda anatembelea UDSM kuwaona students. Sasa hivi imehamishia macho UDOM ndio maana ukisikia speech mifano ni UDOM. Huu ni sehemu ya ukweli juu ya jambo hili kaka.

Mkuu unasema kweli. UDSM imeachwa kama mtoto yatima lakini ndicho chuo kikuu pekee Tanzania (Sitaki mtu aongeze chuo kingine hapo kwa kuwa hakipo ndani ya vyuo 100 bora vya Africa)

kushuka kwa elimu ya tz ni kutokana na wahadhiri kutokusaminiwa , iweje Mbunge anayepiga kelele za NDIOOOOO ! apewe mil 12 per month ,
wakati huo Prof yeye ameweka mgomo kisa hafaidiki na mafao yake .
Hata huo utaalam tunao utafuta umepungua sana thamani yake hapa tz kwa sababu mambo yote siku hizi ni "kimjini mjini" , mwanafunzi akiwa na "mjomba" yuko kwenye system , hana shida ya kujua sana sababu kazi tayari anayo tena yenye marupurupu ya kutosha.
Iweje mtoto wa diploma wa TRA apate fedha sawa na Dr wa UDSM ? huu ni mwanzo tu wakuu ........

Umesahau kwamba ualimu ni WITO!!!

Back
Top Bottom