UDSM yapandisha ADA 100% kwa Masters 2013

umenichekesha sana Rejao ingawa ulichoandika ni cha kweli,ila kiuhalisia wanaosomesha watoto kwa mil 6 ni wachache sana
 
Last edited by a moderator:
Wacha Wapandishe Nyie Mnaojifanya Mnasoma soma ndio Makuwadi Wa CCM

Una maanisha kuna chama cha wasio soma? kelele zote kumbe ni ukosefu wa elimu? kazi kwelikweli. ELIMU NDIO MSINGI WA MAENDELEO
 
Bado mwasoma masters kwenye tu vyuo BONGO
 
A weak man has doubts before a decision, a strong man has them afterwards.
- Karl Kraus
:wave:
I mean am :bored:
 
Its very simple i think; wanataka kusoma pekeyao na watoto wao. Mi nime chokaaa
 
UDSM, PGD sasa ni 4.25M. Kabla ya application ilikuwa less than1.8M. Watu wali-apply kwa kuangalia hilo. Niambie hilo ongezeko ni % ngapi? Tusiumizane kiasi hicho.
Hatukatai ada kupanda, tunachokataa ni inapanda kwa % ngapi?
 
Sizitaki mbichi hizi......kumbe kale kahadithi ka,kitoto kana maana sana.

Ukweli na usemwe tu...
Kama una bachelor degree na bado ni masikini..utakuwa masikini hata ukishapata PHD..ukweli mgumu huu..ha ha ha
 

mzee sio kweli , mbona sie wengine tumelipia 50,000 na ndo application.
 
It does not matter how slowly you go as long as you do not stop! Mimi Mwenyewe
 
kwanini sasa MIB na MIT ziwe bay kubwa, what is tha reason behind, operation cost zake za utoaji wa hizi course ziko juu au ni za maana sana kuliko nyingine.

Na bai zao ziko juu zaidi ya hizo mlizo zionyesha , nimepewa admission letter ada inaonyesha 6370000/= but wamenipigi asimu na wakanitumia sms ada ni 7.5 mln + 95,000 adm na student organizatio na ID.

inatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…