Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,692
- 26,584
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.
Jibu hoja. Slaa anaingiaje hapa? Kama huna cha kuchangia nyamaza kimya. Hatupendi kusoma upuuzi wenu hapa.
jamani mmeuona wimbo mpya wa diamond platinum feat davido "ngololo remix" upo fresh mbayaaaaa,pitia kitu cha you tube
Na wewe chemsha bongo kidogo! Compulsory age of retirement for professors is 70 years! Mkandara hajafikisha miaka 70 na wala hayuko katika mkataba!Sio issue ya kujua-ukifikia retirement age unaachia ngazi ya madaraka kama kiongozi. Professor kuendelea kama professor kwa mkataba ni issue tofauti kabisa. Sasa tuseme "imempendeza" mkulu huyu bwana aendelee au apewe mkataba wa aina hiyo.
Na wewe chemsha bongo kidogo! Compulsory age of retirement for professors is 70 years! Mkandara hajafikisha miaka 70 na wala hayuko katika mkataba!
Serikalini compulsory age of retirement is 60 years! Kwa maana hiyo kama mfanyakazi wa serikali wakiwemo makatibu wakuu wanaendelea na kazi, basi hao wanaendelea kwa mkataba!
slaa ana miaka mingapi? mbona hastaafu au kwa kuwa ile anayoiongoza ni NGO
slaa ana miaka mingapi? mbona hastaafu au kwa kuwa ile anayoiongoza ni NGO
kilaza ni kilaza forever, Chuo kuu cha DSm na chama cha siasa ni vitu viwili tofauti.
Dr Slaa sio mtumishi wa umma ni mtumishi wa chama cha siasa
wale hawako binded na kanuni za utumishi wa umma
Mukandala ni mtumishi wa Umma anapaswa kujiuzulu mapema ameshafika 60 yrs
hata jambo dogo kuelewa ni shida sasa kwanini nisiseme watanzania kama wewe wamelaaniwa?
sidhani au sina hakika kama wanaongezewa mikataba wanaruhusiwa kuwa na vyeo
na pia niseme wazi kile chuo 70% ya viongozi pale ni wahaya, same to Mandela University
ubaguzi wao umewafanya madr na maprof wengi kuvukimbia hivi vyuo...kubali usikubali ukweli ndio huo
si ukaichukue hiyo nafasi kama unaipenda? wivu wa kijinga haujengiChuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kwasasa kinaongozwa na Mstaafu.Hii ni kwakuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Rwekaza Sympho Mukandala ameshafikisha umri wa kustaafu ingawa bado yuko madarakani. Nyaraka rasmi zinazopatikana katika www.udsm.ac.tz zinaonesha kuwa Prof. Mukandala amezaliwa Septemba 30, mwaka 1953.
Tarehe husika inamaanisha kuwa Prof.Mukandala alistaafu rasmi tarehe 30/9/2013. Hatahivyo, Prof. Mukandala ameendelea kuwa madarakani chuoni hapo kama Makamu Mkuu wa UDSM. Kwa mujibu wa mkataba wake wa uteuzi katika cheo alichopo, anapaswa kumaliza mwaka 2015. Lakini, tayari ni mstaafu.
Kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma, mstaafu hapaswi kuendelea na madaraka au nafasi aliyonayo. Hakuna Wanazuoni wengine wa kuteuliwa katika nafasi hiyo hadi mstaafu aendelee kuwa ofisini?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
mwaghona sewoNa wewe chemsha bongo kidogo! Compulsory age of retirement for professors is 70 years! Mkandara hajafikisha miaka 70 na wala hayuko katika mkataba!
Serikalini compulsory age of retirement is 60 years! Kwa maana hiyo kama mfanyakazi wa serikali wakiwemo makatibu wakuu wanaendelea na kazi, basi hao wanaendelea kwa mkataba!
Hivi kila Profesa lazima awe VC? Hoja hapa sio cheti cha Mukandara, issue ya mleta uzi ni hicho cheo cha u-VC na sio u-profesa au u-recturer!
Kama hujui ni vyema ukauliza. VC wa mlimani na hata vyuo vingine vya umma ni lazima awe na rank ya uprofesa. Sasa hata ukimuondoa mukandara kwenye nafasi ya VC, ni lazima utafutue profesa mwingine ili aweze kujaza nafasi ya VC. Lakini kumbuka serikali imeruhusu maprofesa kufanya kazi hadi umri wa miaka 70.Kwa kigezo hicho, Mukandara ni VC halali kwa mujibu wa taratibu za serikali.
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.
sio lazima awe prof. Hata dk anaweza kuongoza chu
Kama hujui ni vyema ukauliza. VC wa mlimani na hata vyuo vingine vya umma ni lazima awe na rank ya uprofesa. Sasa hata ukimuondoa mukandara kwenye nafasi ya VC, ni lazima utafutue profesa mwingine ili aweze kujaza nafasi ya VC. Lakini kumbuka serikali imeruhusu maprofesa kufanya kazi hadi umri wa miaka 70.Kwa kigezo hicho, Mukandara ni VC halali kwa mujibu wa taratibu za serikali.
Umeeleza vizuri mwisho ukaharibu kwa kuwatuhumu Wahaya kwamba wamejaa ktk menejimenti za vyuo vya UDSM na Mandela. Ni tuhuma muflisi!
Mzee Tupa tupa anayo hoja ya msingi sana kwasababu Mukandala ni mtumishi wa umma,lazima sheria na kanuni zifuatwe kwa yeye kustaafu baada ya kufikisha umri wa miaka 60. Kuendelea kushikilia nafasi ya VC ni makosa,pengine kama ataongezewa muda wa kuendelea kufundisha kama baadhi ya Wahadhiri walivyo ongezewa!
Mimi huwa naamini kwamba mtu mchapa kazi wa kweli akifikisha umri wa kustaafu anajiondokea,anakwenda kupumzika,anaachana na pressure za kila siku za maofisini. Lakini ni kinyume huku Afrika,wengi hawataki kustaafu,na utendaji wao sifuri!
ni nani kakudanganya ni maprof tu wanatakiwa kuongoza chuo au kukaimu ukuu wa chuo. Acha kudanganya chali.