UDSM yaongozwa na Mstaafu

UDSM yaongozwa na Mstaafu

Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.

Acha kushabikia tu, unazijua taratibu za kuwa makamu mkuu wa chuo kikuu? Au nuadhani huo ni uwaziri. Cheo cha makamu mkuu wa chuo au uonozi wowote wa chuo hatakiwi kuwa mtu ambaye umri wake umeshavusha umri wa mtumishi wa umma, anaweza kuendela kufundisha kwa mkataba lakini haruhusiwi kuwa kiongozi wa ngazi yoyote chuoni!
 
Non sense, kajipange uje na mda mpya... huyo unaemzungumzia ukimuona utasema ana miaka 45...! sijui una maana gani unapotaka astaafu.......

Kwani ni lazima aonekane amezeeka ndo astaaf au anatakiwa kustaaf au umri ukifika anatakiwa astaaf?
 
Maelezo mazuri.

Kwa mawazo yangu mafupi umepatia kila kitu kasoro sehemu mbili2
1 kuhusu tido mhando
unajua tido kaifanyia nn TBC? Bila tido hata hilo jina tu usingelijua so unaposema unaumizwa na mshahara Mkubwa aliokua anakipwa tido unakosea sana kama anafanya zaidi ya kazi aliyopewa kwann asilipwe vizuri?
Kaacha kazi zake huko kaomba kuja kuinyanyua television ya Taifa halaf umlipe pesA mbuz?plus kaacha maslah take alipotika halaf umlipe kijinga inakuingia akilini hyo?
do u even know how much BBC inaingizia UK?
Sasa kuitaka kuinyanyua TBC ijiendeshe na I ache kutumia kodi za wananch ndo kosa au?tatizo no hzo siasa kua juu ya elimu,uzalendo,ujuzi na professions za watu

2nd back to mukandara
Sheria ni she ria na mkataba ni mkataba sa sijaona kwann unamtetea mkandara wakat anatajiwa kua amestaaf
Umri Wa justaaf unajulikana
So kama mkandala anatakiwa na udsm basi aanatakiwa apewe mkataba mwingine na uwe wakufundisha as profession na sio nafasi za uongozi
 
Umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma ni miaka 60.

Ila baada ya hapo mtu anaweza kupata mkataba (renewable) wa kipindi kifupi. Kuna circular imetoka inaelezea kuhusu hiyo mikataba ya muda mfupi kwa wataaluma: Profesa anaweza kufundisha hadi akiwa na miaka 70. Mhadhiri mwandamizi mpaka 65. Hiyo yote ni kama kuna hitaji. Kwenye ajira ya aina hii, mhusika hawezi kuwa kiongozi
Rwekaza Mukandala yupo kwa hisani ya mtaa wa Luthuli - fullstop
 
narudia tena kama kuna mtu
anaipenda ile nafasi akaichukue milango iko wazi maneno ya kutweta na
wivu wa kijinga na wa kike hauna nafasi

Utakuwa unafikiri kwa kutumia mkia badala ya kichwa!Tukiwa na watu kama wewe na kutegemea mabadiliko ya kimaendeleo hatufiki popote.
 
Mimi binafsi silipendi hili suala la watu kuendelea na ajira kwa mikataba baada ya kufikisha umri wa kustaafu serikalini kwa mujibu wa sheria.
Huku ni kunyima fursa watu wengine.
Mi nadhani ifike mahali ikulu iheshimu hili suala la umri wa kustaafu serikalini manake kuna watu wanajiona wao tu ndio wanastahili kutumikia hili taifa.
Wengine nasikia wanafanya hadi lobbying Ikulu ili waendelee la vyeo vya ubosi serikaini baada ya kufikia miaka 60.
Sidhani kwamba kwa sasa taifa linaupungufu mkubwa wa wasomi wanaoweza kuwa ma vc kwenye vyuo vya serikali. Manake nasikia hata vc wa udom prof kikula na deputy wake mlacha wapo kwa mkataba tokea 2013 hadi 2015.
 
Kiufupi anatakiwa kustaafu na kuomba kuendelea kufundisha kwa mkataba huku hakiwa haruhusiwi kushika madaraka ya uongozi wowote wa chuo. Anaweza kuruhiusiwa kuongoza task force mbalimbali kulingana na uzoefu wake. labda utuambie uVC UD ni moja ya Task force pia.
 
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani. [/
It is not about what school he went, its about how his education help our national.
 
Ndugu gwijimimi nadhani unajisahau sana, kama amepewa mkataba utajuaje? Kama yupo pasipo halali unadhani ingekuta kumetulia? Chuo kikuu hakiendeshwi kwa mitandao, maneno au siasa bali taaluma, uwezo na kukubalika na pande zote kwa kiwango kikubwa. Pia wanasaikolojia wanaamini kama ukikubalika 100% utakua na tatizo hivyo watu kama nyie lazima muwepo.
 
Prince Hope ndugu hujui ulichouliza au umeuliza upate jibu? Ndiyo, Dr. Slaa analipwa na kodi za wavuja jasho wa nchi hii. Jiulize pato kubwa la chadema linatoka wapi kama si ruzuku toka serikalini, pia michango nbalimbali toka kwa wahisani kwa nia ya kuwasaidia watanzania. Nadhani umenipata vyema. Bila ruzuku vyama haviendesheki hapa TZ ndiyo maana vyama vinavyosikika ni vile vyenye wabunge ambao ndiyo chanzo cha ruzuku.

Hivyo usitetee jambo kama hulijui. Tambua Slaa ndiye mwenye mshahara mkubwa kuliko wote chadema ukiacha wizi
 
Utakuwa unafikiri kwa kutumia mkia badala ya kichwa!Tukiwa na watu kama wewe na kutegemea mabadiliko ya kimaendeleo hatufiki popote.
slaa alikuwa mbunge kaleta mabadiliko gani karatu? mbowe kaleta maendeleo gani hai? wanaleta maendeleo gani chadema? charity begins at home
 
hivi mkandara akiwa vc nyie kinawauma nini? mbona slaa na mbowe wameshikilia hatamu kwa muda mrefu hamsemi? wivu wa kike

Hivi katika mjadala kama huu, suala la Slaa na Mbowe linatoka wapi?
Sasa imekuwa kawaida watu kuingiza maji taka katika mijadala yote hapa JF.
Common sense is not so common. Labda hilo ndio maelezo pekee.
 
Hivi katika mjadala kama huu, suala la Slaa na Mbowe linatoka wapi?
Sasa imekuwa kawaida watu kuingiza maji taka katika mijadala yote hapa JF.
Common sense is not so common. Labda hilo ndio maelezo pekee.

mnajifanya wajuaji wa kupinga kila kitu halafu babu yenu huko anawaibia ruzuku mnachekelea ondoeni uhuni hapa
 
Kwani ni lazima aonekane amezeeka ndo astaaf au anatakiwa kustaaf au umri ukifika anatakiwa astaaf?
Sistahili kukujibu kama ni wajibu wake ama la, tasnia ya elimu ya juu ina mambo tofauti kidogo.. prof wa chuo kikuu huwez kumfananisha na mfanyakazi wa TRA ambaye umri ukufika lazima astaafu, hapa tunaongelea wasomi ambao wapo wachache katika nchi, utamlazimisha vip astaafu mapema?
 
Back
Top Bottom