Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,568
Hakuna hoja ya maana hapa. Nchi bado inamuhitaji profesa mukandara. Kumbuka huyu gwiji amesoma University of Carlifornia berkeley, one of the very few word class universities. Wamerekani wanaita ivy league. Halafu waraka wa serikali unamruhusu professa kufundisha mpaka akiwa na umri wa miaka 70. Kwa hiyo mukandara bado ana miaka 10 ya kufundisha hapo mlimani.
wewe unaongelea kufundisha wakati mleta mada anaongelea kuongoza.
Mleta mada anaongelea sheria na taratibu wewe unaongelea habari za 'eti' kasoma california university of Bakari sijui, mradi umeamua kuchanganya tu.
Haya mkuu, only if thats what makes you happy, then keep your head up.