Sistahili kukujibu kama ni wajibu wake ama la, tasnia ya elimu ya juu ina mambo tofauti kidogo.. prof wa chuo kikuu huwez kumfananisha na mfanyakazi wa TRA ambaye umri ukufika lazima astaafu, hapa tunaongelea wasomi ambao wapo wachache katika nchi, utamlazimisha vip astaafu mapema?
Inasikitisha kuna watu wenye fikra finyu kama wewe!
udsm . Dr lwaitama mbona na yeyebaada ya kufikisha miaka 60 walikataa kumuongezea mkataba.
hakuwa mtu potential
Ndugu gwijimimi nadhani unajisahau sana, kama amepewa mkataba utajuaje? Kama yupo pasipo halali unadhani ingekuta kumetulia? Chuo kikuu hakiendeshwi kwa mitandao, maneno au siasa bali taaluma, uwezo na kukubalika na pande zote kwa kiwango kikubwa. Pia wanasaikolojia wanaamini kama ukikubalika 100% utakua na tatizo hivyo watu kama nyie lazima muwepo.
Mkuu hilo suala la Baregu na Azavelli ni mambo ya siasa hayo, wale walikua mrengo wa ki chadema. Na nadhani unaelewa fika kwamba ccm ndo wapo madarakani, kwahiyo vitu vingine vinatokea haviitaji ufafanuzi maana ccm ndo ipo madarakani kwahiyo its obvious watanzania hatutegemei haki itendeke kwenye baadhi ya mambo yenye utashi wa kisiasa.Embu niambie kama maprof bado wanahitajiika sana. Mbona serikali ilimtosa prof baregu kuendelea kufundisha udsm. So to dr azaveli lweitama. Embu acheni kushabikia ujinga anaendelea na cheo chake kutokana na udhaifu wa mfumo.
Hata akina kikula na mlacha wa udom wameshavuka miaka 60 ila wapo pale kwa hisani ya dhaifu no 1 na upumbafu wa wabunge wetu
Kwahiyo? Acha kupotoka.UDSM ni moja ya Taasisi za kiserikali na zinasimamiwa na sheria zilezile za utumishi wa umma. Kustaafu ni miaka 60Sifikiri kwamba Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu ni sawa na Kamishna Mkuu wa TRA. Chuo Kikuu ni taasisi ya kitaaluma tofauti na mashirika mengine ya serikali.