GE2025 UDSM yailaani UDASA kwa kukosa “Maadili ya Umma” baada ya kulaani uvunjifu wa haki nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

573876049.jpg

Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

TAARIFA KWA UMMA
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.

Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
 
dd30933e-5277-4c6f-a33c-e6ed81c936de.jpeg

View attachment 3492719
CHAWA
 
Hili Swala La Kutoka Kwa Matamko Siyo Rasmi Limeshamili

Swali Je Haya Matamko Siyo Rasmi Yana Chapishwa Na Watu Kwanini Mamlaka Haiwachukulii Hatua Hawa Wanatoa Hayo Matamko Siyo Rasmi

Mbaya Zaid Matamko Mengine Yanatoka Kuhusu Tasisi Kubwa Binafsi Na Umma Ila Hatujawah Ona Vyombo Vya Ulinzi Kuja Mbele Kuwakamata Watuhumiwa
 
UDASA wamefanya kazi iliyotukuka sana na Mungu awabariki sana.

Kimsingi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hawakupaswa hata kutoa hili tamko maana haliwahusu. Na tunajua kwa sababu Kikwete ni Mkuu wa Chuo ndo mana amelazimisha Uongozi wa Chuo kutoa hili tamko la kishenzi.

Kinachotia moyo sasahivi ni kwamba, hadi wasomi wanaojitambua wamenyoosha kuwa Katiba inasiginwa. Kilichobaki sasahivi tunawaangalia walinzi wa Katiba JWTZ wanachukua hatua gani juu ya huyu anayejiita amiri jeshi mkuu huku anakiuka Katiba.

Jumuiya ya Kimataifa imeshasema, wananchi timesema, wanazuoni wanaojitambua wameshasema. Saivi tunawaangalia JWTZ walinzi wa Katiba wanachukua hatua gani?
 
Back
Top Bottom