UDSM yaachia Batch 2 first year 2015/2016

Nenda website ya UDSM uone majina ya waliochaguliwa round 3,pia admission letters zimetoka kwa wale wa UDSM, matangazo yote mawili yametoka leo october 12,2015 at 09:39 na 10:40 respectively.kazi kwenu wadau
 
vp kuhusu join instruction za DUCE maana nimeambiwa zimetoka lakini nimeingia kwenye website yao sijajua wapi zimekuwa located.
 
Applicants selected for admission into Dar es
Salaam University College of Education (DUCE) and Mkwawa University College of Education
(MUCE) should report directly to the college's campuses in Chang'ombe and Iringa respectively
on the same dates. Joining instructions and admission letters should be collected at the
University campuses where one is admitted. Joining instructions and other important
information can also be downloaded from the University website at www.udsm.ac.tz (go to the
Undergraduate Section)
 
kwa hyo fomu naichukulia kwenye website ya UDSM na syo ya DUCE.
 
website inakupa maelekezo tu jinsi ya kupata admition fomu na join instruction......ambazo zinatolewa katka office za vyuo kwa kila tawi
 
Joining Instructions zipo kwenye website kama ulivyoelekezwa, pamoja na medical examinations forms.

Unachotakiwa kuchukuwa chuoni ni barua za admissions tu na zinapatikana main campus.

Kumbuka ni kwa wale tu walioko Dar es Salaam au maeneo ya karibu, walioko mbali wanaweza kuchukua barua zao watakapokuja orientation.
 
Hata mm celewi udom wanasubiri nn kuhusu admission letters&2nd batch
 
Inafunguka now udom~web ILA amna chochote kuhusu 2nd batch
 
Back
Top Bottom