UDSM wamefanya kama TLS, CCM waangukia pua..!!

UDSM wamefanya kama TLS.
Shikamoo UDSM

Rais Jeremiah John
Makamu wa rais Annastazia Anthony.

UDSM Wamewachagua watu makini, UDSM ipo mikono salama....

UDSM SIO MAFALA NA KAMWE HAWATAKUWA MAFALA.
UDSM iko mikono salama au DARUSO???
Msome sasa,msiendekeze ujinga.
Mjipange na KALINYEKALINYE LA KITAA
 
Jinsi zile shule za kata za lowasa zinavyozidi kutema watoto mtaani ndivyo jinsi kifo cha ccm kinavyokaribia
 
Katika watu watakiangusha chama cha ccm madarakani ni wakuu wa wilaya,na wakuu wa mikoa,embu fikiria eti makonda ndio ataomba kura za ccm ndani ya mkoa wa da es salam
 
Vyama vilikuwa vinashindana CCM wakashindwa.? Basi hicho sio kitovu cha elimu tena ni Ulingo Wa siasa
 
Kwani hao ni chadema? Siasa si zilipigwa marufuku vyuoni? Acha kuwachafua watoto wa watu hawajapata nafasi hizo Kwa siasa wewe mchonganishi yawezekana umeshindwa uchaguzi ndio unataka kuwaharibia walioshinda. Acha hizo umeshindwa umeshindwa usiharibie walioshinda
Siku hizi mnajiita, "mafala" by Barbosa sio mm check post za juu
 
Unakaa kivulini unasoma Uzi kama huu unajiuliza,

Aliye andika ana uelewa kiasi gani?

Unajiuliza tena, rais wa Chuo anawezesha nchi kupata mabarabara, hospital vijijin na huduma zingine kwa walala hoi,
Unagundua, ni sifa za kijinga..
Ndio anawezesha maana akiwaongoza vyema wenzake itasababisha UDSM itoe quality products za professionals wenye umakini ili mwisho wa siku walete matokeo chanya ya elimu zao kusaidia maeneo yao kupata maabara,hospitali n.k hta hao kina magufuli wea once students pia so usibeze umuhim wa wasomi haoa nchini
 
we
UDSM wamefanya kama TLS.
Shikamoo UDSM

Rais Jeremiah John
Makamu wa rais Annastazia Anthony.

UDSM Wamewachagua watu makini, UDSM ipo mikono salama....

UDSM SIO MAFALA NA KAMWE HAWATAKUWA MAFALA.
wewe akili yako haiko sawa.... kama kweli unasoma UD basi naihurumia Tanzania yangu... unaweka mbele vyama badala ya Nchi Kwanza. shame
 
Back
Top Bottom