udsm wacharuka na kibonde... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

udsm wacharuka na kibonde...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nziriye, Feb 6, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wanafunzi wa chuo kikuu cha mlimani wanaokaa mabibo hostel na wale wa kampasi wameanzisha tena solidarity na maandamano yao yanalengo moja la kupinga matamko ya chooni,ya kukurupuka ,yakijinga ya shosti.kibonde dhidi ya madai yao ya msingi,maandamano yameanza muda wa saa 2330 pm na utawasikia wanaimba kibondeee kibondeee,na kama asipokuwa makini wanaweza kumuharibia hata kaukumbi kake ka-disko kanaitwa club le mambo kapo pale external,oooh hv jamani tumfanye nini huyu mnyama jamani?
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Kibonde kaishia kidato cha 4, akatunukiwa NECTA CSEE yenye IV ya pointi 33, yaani ana D mbili, na F zote zilizobaki, credit 0. Tutegemee nini kwa mtu huyu.
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kaka nijuavyo mimi ukiwa na D mbili basi unakuwa na div 4 ya points 28 na nadhani ndio ya mwisho na ikiwa utapata D moja basi unakuwa na points 29 na unapata Div 0 sasa ikiwa ni kweli ana points 33 basi ana ziro na kama akiwa na D mbili atakuwa amepata Div 4
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nadhani they should not waste their energy kwa kumfatilia mtu mmoja, wenyewe waendelee kuishinikiza serikali.., sioni faida watakayopata kwa kujibizana na huyu jamaa.
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kabisa kuwa wewe hukumalizia form four Tanzania labla umemalizia nje ya Tanzania. Kabla ya kukosoa mtu unatakiwa kujiridhisha kwanza kuwa unachotaka kufanya kinaukweli gani na alichofanya mwenzako kina uongo gani.

  Mfumo wa ukokotoaji wa points kwa form four kama hujui upo hivi. Kwanza ili uitwe school candidate ni lazima u-seat mitihani isiyopungua saba katika shule iliyosajiliwa na uwe unafanya mitihani kwa mara ya kwanza. Kwani points huwa zinaangaliwa kutokana na masomo saba uliyofanya vizuri. Mtiririko wa points upo hivi (A = 1; B = 2; C = 3; D = 4 and F = 5). Sasa utaona kuwa katika masomo saba ukipata "A" yote unakuwa na Division one ya Points 7 the highest you can get. Na ukipata F yote unakuwa division 0 ya points 35. Division zero huanzia points 34 na division four huishia na points 33 kama umepata D mbili tu and the rest "F" ( 5 points for five Fs = 25points plus 4 points for two Ds unakuwa na points 8 jumla points 33).
   
 6. Marunde

  Marunde JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 9, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Mkuu safi sana naona umemweka sawa jamaa
   
 7. W

  WJN Member

  #7
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninashaka na elimu yako wewe, hata hujui four inaishia point ngapi? tena point 28 unazozitaja hauna hata hakika nazo bali unadhani tu! Usitake kuupotosha UMMA.
   
 8. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh!! kumbe vilaza wengi sana bongo wana polute tu wananchi
   
 9. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hii, watu huwa wanatoa comments wakiwa na false confidence hadi utadhani wanachotoa ni ukweli. Ndio wanaotuua hawa hata kumpa rais statistics za uongo.
   
 10. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Nadhani sasa ushajua tujuavyo wote.
   
 11. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kilaza ndiye anapaswa kujua four inaishia ngapi na zero inaanzia wapi lakini mtabe yeyote anapaswa ajue tu one inaishia wapi na kama ni kichwa zaidi single digit zinaishia wapi full-stop.
   
 12. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama wanaandamana kwa ajili ya tamko la Kibonde basi wao ni wajinga zaidi kuliko Kibonde...; hivi watu kama hao wamefikaje chuo kikuu?yaan wanafunzi wa chuo kikuu wanafanya kile ambacho kinapaswa kufanywa na wanafunzi wa form two?kaazi kwelikweli!!
   
 13. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wanafunzi na mtoa mada wote wapumba**. Is like kichaa achukue nguo zako mtoni ukiwa unaoga uanze kumkimbiza ukiwa uchi. Kisa? Unataka umnyang'anye nguo zako
   
 14. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,041
  Likes Received: 8,532
  Trophy Points: 280
  Wasomi wa tz bana,mnajiona mko matawi kufika varsty na mnataka tuwatreat as if u r GOD..ticks me off ,kwa usomi gani ,show me a single inovation u did ...NOTHING...usomi wa kukalili what is bunsen burner ndo maana mnacopy ata maandamano ya EGYPT sasa ndo ivo misri watashimdwa nanyi vilevile.
  Mh kwani kibonde ni nani...inaonekana anawapa headache sana POLENI VIJANA mtakua tu msijali sana
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kubali umechemka na uombe msamaha.kipanga anajua kila kitu hata mambo yasiyohusu masomo.
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu mbona unageneralize mambo?unawafahamu wasomi wa tanzania au umeamua kubwabwaja tu.
   
 17. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,041
  Likes Received: 8,532
  Trophy Points: 280
  Naöna mnabishana tu calculation za division sijui point a lot of BS huyö kibonde achaneni naye SOMENI EBO.
  Afu mkiandamana mfanye ya ukweli cio mnaigiza maandamano gani hamna hata wanatandikwa risasi,wapi ushujaa wenyu?
  Lazma mjitolee ajili ya nchi hii SAWASAWA?
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tatizo la miafrika inayoenda nje ya nchi kufanya kazi za ndani!
   
 19. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  kweli wewe kibonde ni kiazi, huwezi hata kuficha identity yako!!
   
 20. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,041
  Likes Received: 8,532
  Trophy Points: 280
  Inawezakana siwafahamu jack labda unieleweshe NI WAPI HAo.sina uhakika na ntwk kama sitajibu ujuwe sipati mtandao ila nitarejea kusoma response zako anytime
   
Loading...