Muulize ndoto yake ilikuwa kusoma sauti au udsm? Lazmaa alipata low grade huyo ndo akakosa udsm na kupelekwa saut .mm na division yangu ya form six CBG siwez kuwaza saut
Hizi classes ni mbaya sana na je zinamsaidiaje mtanzania wa kawaida?matabaka haya huamia mpaka maofisi na wengine kuanza kudharauliana kutokana na vyuo walivyosoma wengine wakijiona bora kuliko wenhine.
Swala la kujadili ni jinsi ya kuinua Viwango vya Elimu yetu vyuoni angalau hata kwenye vyuo vya tano bora Afrika nasi tuwepo
Degree ni degree tu, ukianza kulinganisha mambo utashangaa, tunakutana na watu wa udsm au udom wakali na wengine weupe hatari, pia hata saut wapo vilaza na wakali tu
pumbavu! unafananisha 'twishen centa' na chuo kikuu,hauko sawa upstairs!
tz kuna chuo kimoja tu,nacho ni udsm;tunaosoma vipanga na chuo kinachoongoza nchi!