Na pia kiukwel walimu wa saut hakuna kitu kabisa saut hakuna walimu kabisa wanafundishwa na wanafunzi wenzao tu wenye degree. Au ambao wanachukua masters il usema walimu wa kueleweka hakuna kitu .na pia kuna wingi wa masomo ambao hauna maama mfano unaambiwa usome french na ni lazima