UDSM vitanda adimu............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM vitanda adimu............

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rutashubanyuma, Dec 26, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  Gazeti la habari leo linatuhabarisha ya kuwa zaidi ya asilimia sitini ya wanafunzi wa Chuo Kikuu kikongwe kulikoni vyote cha UDSM kina ukosefu mkubwa wa vitanda vya kulalia wanafunzi.................hii ni moja ya changa moto zinazoukabili uongozi wa chuo hicho mbali ya uchakafu na uchache wa majengo, uwiano hafifu wa mwanafunzi na mwalimu..........n.k......................
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii si habari! Ni hapo ndo wale viongozi wa wanafunzi kwa kushirikiana na baadhi watu wa USAB wanapoanzia ufisadi kwa kuuza vitanda kwa bei za ajabu!
   
 3. Shemzigwa

  Shemzigwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wacha walale chini ndio wakitia akili watajua wafanye nni
   
Loading...