UDSM vipi

ISAAC11

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
94
Reaction score
12
Wadau post za udsm walizotangaza mbona wamekaa kimya yoyote mwenye taarifa za watu walikuwa selected i mean post za ma lectural
 
waajiri wa kibongo wananikera sana kwa sababu hii hawana feedback kabisa na wengine hata started day hawaweki
 
Hivi mshahara wa PhD holder anayeanza kufundisha UDSM ni kiasi gani wakuu?
 
Wadau post za udsm walizotangaza mbona wamekaa kimya yoyote mwenye taarifa za watu walikuwa selected i mean post za ma lectural
Mkuu zile post wengi tunazisubiri lakini kuna jamaa yangu aliniambia kuwa yule mama (HR) ni mtu wa Mbeya kwa hiyo wewe kama ni mtu wa mbeya zile zinakuhusu na huyo mtu aliyeniambia yeye ni wa mbeya na aliambiwa akiwa tayari barua ya maombi ampelekee mwenyewe mama mkononi na huyo jamaa yeye alifanya field mwezi wa 12 hapo hapo, sasa sijui kuna ukweli wowote au ni katika kukatishana tamaa! ila kwa kifupi ni kwamba kuna ukabila
 
zile nafas zilikua re advertised tena na deadline ni leo tar 27.03. So what 2do ni kuvumilia labda mwez wa 5 hiv, haya mambo taratibu wakuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…