kwaya ya mtakatifu flomena mabibo hosteli chuo kikuu cha udsm inawakaribisha wanafunzi wote wanaopenda kujiunga na kwaya hii. njooni tumwabudu mungu kwa kuimba .pia tunawaalika sana wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao wanatarajia kujiunga na chuo mwezi ujao. njoone nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo nanyi nitawapumzisha asema bwana (l:k 4) mbarikiwe na bwana.