UDSM uchaguzi wa Rais na makamu wake wapamba moto

alfred lyaruu

New Member
Mar 20, 2013
2
0
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam wako katika kipindi chauchaguzi hivyo kila mgombea ananadi sera zake mpaka hitimisho lake siku ya jumapili saa12 jioni ndani ya MLIMANI TV na RADIO ILI KUJITAFUTIA tiketi ya kupigiwa kura siku ya juma tatu tarehe 29/04/2013.
 
Tuwekee majina ya wagombea na kambi zao za kisiasa hapo chuoni tujue moja kati ya YUPI ASUKWE N ANI WA KUNYOLEWA. Maana hakuna kulegeza uzi hata uwe uchaguzi wa kiranja wa darasa. Magamba ni ya kutokomezwa popote yalipo.
 
tatizo limekuwa kubwa sana pale udsm. ccm wamefanikiwa kuwaweka mapandikizi yao wote watatu kugombea nafasi hio ya uraisi.
kusudio kubwa ni kumpitisha aliekuwa waziri mkuu wa serikali inayomaliza muda wake kwa kuwasimamisha mahasimu wasio na nguvu kabisa pale chuoni.. ni kama waziri anapambana na mawe.
mpaka sasa tumesha appeal kwenye tume ya uchaguzi kutaka mchakato wa kuwa acces wagombea uangaliwe upya. ila taarifa zilizopo ni kwamba tume ya appeal nayo imejiuzulu.
cha msingi ni kuwa kunauwezekano mkubwa sana uchaguzi wa jumatatu ukaleta fujo hapo chuoni. chochote kinaweza kutokea.
 
hilo Lyaruu linanikumbusha prof lyaruu wa Botany department UDSM,Ni ndugu nini.!ok,uchaguzi naukumbuka enzi za Kipara ulikua hot.
 
Hiki ni kipindi cha uchaguzi ili kupata viongozi watu huchukua form kujaza kupata suporter kisha kuzirudisha kwa ajili ya screen kwenye screen hukaa viongozi waawamu iliyopita ilikuchuja viongozi sasa viongozi waliogombea alikuwa waziri mkuu ambaye alikuwa mchomeaji wawanaharakati wngi kufukuzwa kwa hyo wagombea waliopitishwa ila jamaa waliopitisha ili wzri mkuu ashinde walikuwa dhaifu na wasio na uwezo wa kuongoza chuo hiki cha taifa na uma mkubwa wa udsm na hyo ilithibitika ktk campegn ambapo wagombea wlkw hawawezi kujieleza ila katika hali isiyo ya kawaida wanaudsm wameonekana kuwakubali haohao na ambaye atapita ni dogo m1 anayeitwa kisngo ambaye ...
 
Hamna group zenu fb mkapost haya mambo yenu? Na kwa uandishi wako huwa natatiza kuwa kina mwigulu,wapya wanakuja
 
Kwa posti hii na wewe upo hapo UDSM. Basi jihesabu we ni kati ya mambumbu wa hapo chuo. Umeposti kwa ajili ya kampeni, au umeposti ili uma wa Tanzania ujue?. We ni ovyo kweli.
 
dah yaani huyu naye ni mwanafunzi wa udsm?shule za kata zimeleta viroja!
 
Hili ni zaidi ya janga! Kama u'intellectual wenyewe ndio huu, basi kazi ipo!
 
huoni kuwa ni upuuzi sasa kumpigia kura mtu ambae awali umemwita dhaifu hawezi hata kujieleza kuwa raisi wako kisa tu kumkomoa waziri mkuu. kwa hili nadhani mmeonesha ujinga na si fikra hai.
nilitegemea kwamba wanafunzi waungane screening irudiwe ili wapatikane candidates wenye uwezo kuliko kumpigia kura mtu dhaifu kisa kumkomoa waziri mkuu.
 
hujui kuandika, hueleweki,hakuna nukta,aya wala mkato... Hustahili kuwa msomi wa chuo kikuu.. DISGUSTING
 
Chanzo cha ujinga Tanzania mara nyingine ni vyuo vikuu ikiwamo UDSM kwani wanachuo hawana muda wa kudai mabadiliko ya utawala bora ila wanangoja waje kugoma wakati fursa zipo. Katiba ya DARUSO ni majanga ya kifikra, kwanza tume ya uchaguzi si huru kuanzia uundwaji wa wajumbe.Wenyeviti wa College wanaomaliza muda wao ndiyo huunda tume hiyo, je wataacha kuwapitisha watu watakaoficha uchafu wao walipokuwa madarakani? Kituko kingine, utaona Makamu wa Rais anagombea kama mgombea huru mwenye majukumu nje ya yale ya rais wa chuo, sasa kivumbi endapo makamu wa rais atakuwa na falsafa tofauti na rais wake,kazi itafanyika? Nadhani hao wanaojiita wanaharakati wa UDSM wangekuwa na maono, bila shaka wangeanza na katiba ama watafute namna ya kujifunza vyuo vingine.Ni bora wajumbe wa tume wakapatikana kwa njia ya bunge la serikali ya wanafunzi kwa kugombea!
 
Hata mimi nimeamini UDSM ni home of intalekchuaz, uandishi wako hauna tofauti na Mhariri aliyebobea katika tasnia ya habari, una kila sifa ya kuitwa Msomi! All of my statements are Ironical oriented by the way.
 
......mwambie akuache kwanza umalizie kuandika vizuri huyo hapo ulienae...... mshika mawili moja humponyoka
 
Back
Top Bottom