UDSM supplementaries exams results Sept 2012/2013

UDSM supplementaries exams results Sept 2012/2013

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Ndugu zanguni, kwa wale tuliofanya supplimentary. Naomba kujua kama matokeo tayari yashatoka. Mwenye habari basi atujuze tuweze kuangalia, kwenye Aris yangu inaonyesha bado.Labda kuna mtu anaweza kutujuza.
 
Ndugu zanguni, kwa wale tuliofanya supplimentary.Naomba kujua kama matokeo tayari yashatoka.Mwenye habari basi atujuze tuweze kuangalia, kwenye Aris yangu inaonyesha bado.Labda kuna mtu anaweza kutujuza.

we utakuwa 1st year,,uwa yanatoka mwezi wa 11
 
Tarehe 7 october ndo tutayatoa.over
 
Kuwa mpole c umefanya "supp"mwombe mora wako maana ujadisco,jpanga next ac yr achana na mambo yacyokuhusu ucje angukia pua!
 
Ndugu zanguni, kwa wale tuliofanya supplimentary.Naomba kujua kama matokeo tayari yashatoka.Mwenye habari basi atujuze tuweze kuangalia, kwenye Aris yangu inaonyesha bado.Labda kuna mtu anaweza kutujuza.
We umetumwa na taifa kusoma kwanini upate supU!pum---buvuuuuu! we kama ni binti wale mnaojiuza maenda, ambiasi! kama ni mwanaumu utakuwa mlevi au nawe kazi yako kutafuta malaya. Aibu next time nikifahamu ID nitakula kichwa chako.
 
Yaani kuuliza tu mmeshaanza kunishambulia hivyo loh.
 
Hatimayee.......Ahsante Yesu kwa wema wakoooooo....
 
Munkari nimemaliza tayari ndugu yangu,nlikuwa supplimentary moja.
Ahsante Yesu.
 
kkuanguka kwenye mti ndio kushuka man.wanaolaumu wenye sap ni mafedhuli.umesomea vyuo vya kata unajidai
 
Ndugu zanguni, kwa wale tuliofanya supplimentary.Naomba kujua kama matokeo tayari yashatoka.Mwenye habari basi atujuze tuweze kuangalia, kwenye Aris yangu inaonyesha bado.Labda kuna mtu anaweza kutujuza.
Ulifaulu mkuu?
 
Back
Top Bottom