Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,908
- 33,338
( kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana kinemo)
( kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana kinemo)
Kwa kweli na kufeli maisha ni lazima!Mnaingiza siasa kwenye elimu..watu wa ajabu sana nyie..
Mkuu andika kwa kiswahili wengine hatuelewi kisukuma.Sio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anae dai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana na maelezo ya moja ya wajumbe wa Judicial organ iliyoketi siku ya Alhamisi , aliyekuwa Mwenyekit wa Organ hiyo ambae pia ni kiongozi wa BAVICHA bwana Kinemo alianzsha fujo ili kuuzima mchakato wa usikilizwaji wa kesi ikiwa ni pamoja na kumtolea lugha chafu Mshauri wa wanafunzi ili aweze kuondoka kikaoni hapo,( kulingana na kanuni zao, mshauri anapotoka nje basi shughuli nzima inakuwa batili) , inasemekana huu ni mpango ulio andaliwa na master plan wa shughuli za Chadema ndani ya viunga vya chuo kikuu cha Dar es salaam, bwana Charles William ambaye pia ni mfanyakazi wa gazeti la Mwanahalisi . ( kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana kinemo)View attachment 798150
Hahaha hata Mimi sijamuelewaMbona haueleweki wewe?Wewe ni Msomi???
Sio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anae dai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana na maelezo ya moja ya wajumbe wa Judicial organ iliyoketi siku ya Alhamisi , aliyekuwa Mwenyekit wa Organ hiyo ambae pia ni kiongozi wa BAVICHA bwana Kinemo alianzsha fujo ili kuuzima mchakato wa usikilizwaji wa kesi ikiwa ni pamoja na kumtolea lugha chafu Mshauri wa wanafunzi ili aweze kuondoka kikaoni hapo,( kulingana na kanuni zao, mshauri anapotoka nje basi shughuli nzima inakuwa batili) , inasemekana huu ni mpango ulio andaliwa na master plan wa shughuli za Chadema ndani ya viunga vya chuo kikuu cha Dar es salaam, bwana Charles William ambaye pia ni mfanyakazi wa gazeti la Mwanahalisi . ( kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana kinemo)View attachment 798150
RubbishSio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anae dai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana na maelezo ya moja ya wajumbe wa Judicial organ iliyoketi siku ya Alhamisi , aliyekuwa Mwenyekit wa Organ hiyo ambae pia ni kiongozi wa BAVICHA bwana Kinemo alianzsha fujo ili kuuzima mchakato wa usikilizwaji wa kesi ikiwa ni pamoja na kumtolea lugha chafu Mshauri wa wanafunzi ili aweze kuondoka kikaoni hapo,( kulingana na kanuni zao, mshauri anapotoka nje basi shughuli nzima inakuwa batili) , inasemekana huu ni mpango ulio andaliwa na master plan wa shughuli za Chadema ndani ya viunga vya chuo kikuu cha Dar es salaam, bwana Charles William ambaye pia ni mfanyakazi wa gazeti la Mwanahalisi . ( kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana kinemo)View attachment 798150
Nadhani ulikuwa Night Club muda huu. Baada ya kulewa ndio ukaamua kutuletea haya madudu...Sio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anae dai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana na maelezo ya moja ya wajumbe wa Judicial organ iliyoketi siku ya Alhamisi , aliyekuwa Mwenyekit wa Organ hiyo ambae pia ni kiongozi wa BAVICHA bwana Kinemo alianzsha fujo ili kuuzima mchakato wa usikilizwaji wa kesi ikiwa ni pamoja na kumtolea lugha chafu Mshauri wa wanafunzi ili aweze kuondoka kikaoni hapo,( kulingana na kanuni zao, mshauri anapotoka nje basi shughuli nzima inakuwa batili) , inasemekana huu ni mpango ulio andaliwa na master plan wa shughuli za Chadema ndani ya viunga vya chuo kikuu cha Dar es salaam, bwana Charles William ambaye pia ni mfanyakazi wa gazeti la Mwanahalisi . ( kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana kinemo)View attachment 798150
Mbona haueleweki wewe?Wewe ni Msomi???
kabisaa,hapo na serengeti ya saba, arrangement tu ila ujumbe wote una ukweli ndani yake kama unabisha fanya uchunguziNadhani ulikuwa Night Club muda huu. Baada ya kulewa ndio ukaamua kutuletea haya madudu...
vipi kuhusu hii Issue ya kutoa hongokabisaa,hapo na serengeti ya saba, arrangement tu ila ujumbe wote una ukweli ndani yake kama unabisha fanya uchunguzi