Ndo Mana Ya Batch One.Unataka Source Ikusadie Nini?We Umepewa Assignment?Itatoka Batch2 Na Jina Lako Halipo.Sio Lazima Wote Mchaguliwe Udsm.Vyuo Vipo Kama Udom,mzumbe,makumira N.K.Sio Lazima Kua Ukijaza Udsm Unapangwa.Kama Una Point Ambazo Hawazitaki Huchaguliwi.Hapa Hakuna Kubembelezana Kua Watakosa Madent.Hii Ni State University Kwa Hiyo Inapata Cream Kwanza.
unakunywa kinywaji gani? a hag hag hag hagggggggggggggg
Maji tu yananitosha, umechaguliwa kozi gani?
Wana jf niangalizieni mdogo wangu maana atakufa kwa pressure S4224/0027/2012
Not found
sema anapoint ngapi ili iwe rahisi kumwangalizia na kozi ipi ipi aliyojaza
Not found