inachezea hapo cha muhmu fanya kama lak 2 direct cost pamoja na hostel, kumbuka pesa ya kujikimu huku ukisubiria boom,
gud sana, bro___ na kuingia hostel lazma mpaka regstration ....!! nikifka pale maeneo ntajitaidi niwe mtu wa pili kua regstrared kama sio mtu wa kwanza...
asee mliochaguliwa udsm natafuta mtu wa kunibeba ..
So man hzo gharama c unalipia kabla ya bum kutoka au vp
Jamani nauliza kuripoti kule udom tarehe ngap anaejua anisaidie tafadhali
jaman nimechaguliwa udsm bachelor of science wth education chemia&biology, me nataka kusoma bios&geography, ntafanyaje wakuu?
Jamani nauliza kuripoti kule udom tarehe ngap anaejua anisaidie tafadhali
hlo nalo la kuumza kichwa si utachagua mwenyew ukifika chuo.
jaman nimechaguliwa udsm bachelor of science wth education chemia&biology, me nataka kusoma bios&geography, ntafanyaje wakuu?
Bios n geography ud hamna labda uje sua mkuu
una uhakika gan mkuu!