UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

dkashombo2013; naomba unisaidie hii namba S0134/0669/2015
 
Naomb kujua idadi ya waliochaguliwa baed udsm kwan kuna jamaa kanambie kacheck kwny hiyo link kaona hawafiki 40! je kuna ukweli wowote kwenye hii first batch maana jamaa kanchanganya.
 
Naomb kujua idadi ya waliochaguliwa baed udsm kwan kuna jamaa kanambie kacheck kwny hiyo link kaona hawafiki 40! je kuna ukweli wowote kwenye hii first batch maana jamaa kanchanganya.

waliochaguliwa ni 1170 na co 40
 
za mchana jamani samahan ni hvi kama UD wameshatoa majina na wale walioambiwa kuselect second round inakuajee?? naomben msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…