Dah....udsm kwenye upande wa school of education wamefanya sivyo lkn yan mtu una merit ya 3.3 wanakuacha...yan mara hii ni distinction tu...sasa wenye credit wakasome wap?
Udsm hatutaki vilaza kabisaaaaaaaaaa, nendeni udom uko mkajazane brn
sijawah ona selection anakua nazo mtu mmoja tu, tumekwambia ututumie kwa e-mail hutaki, unatuzinguaaa kaa na selection zako huna lolote mizinguo tu
please check S0611/0538 /2014 point 6 BSC ED
sijaona jina lako
msaada s0128/0556/2015
mkuu naomb uniangalizie s0128/0567/2015 kapangiwa udsm main campas au duce
Rajab said bacherol of arts with ed
Bachelor of arts with education.
Joseph Emanuel Benjamin.
Hahah jina lako linafanana na akl zako kikoozi sasa vp kuhusu waliongia ud na division 3 mwaka jana
Mkuu naomba niangalizie no hii s1144/0514/2015 jna JENNIFER KIMWAGA