NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
- Thread starter
-
- #141
sipingani na wewe lakini lazima watu waonyeshwe dunia ya computer science ilipo tokatusi criticize kila kitu mimi najua paschal ina msingi mzuri kwa wanaojifunza programming na lazima tuwe na watu wabunifu pia,ubunifu huanzia pale mwenzio alipoishia...mimi nilifundishwa dos mara ya kwanza kabisa naanza kuingia kwenye computer industry haikuwa na manufaa zaidi ya kuonyeshwa dunia ilipotoka lakini ilinisaidia sana katika kazi zangu sana hasa katika hard disk vimeo kipindi hicho..
Ni tanzania tu au africa tunapo icomplicate hii industry ya computer technology ila wenzetu wanapiga hatu kwa watu kuwa na open source kibao hasa zilizo applicable kwenye institution kibao
INGENJAsipingani na wewe lakini lazima watu waonyeshwe dunia ya computer science ilipo tokatusi criticize kila kitu mimi najua paschal ina msingi mzuri kwa wanaojifunza programming na lazima tuwe na watu wabunifu pia,ubunifu huanzia pale mwenzio alipoishia...mimi nilifundishwa dos mara ya kwanza kabisa naanza kuingia kwenye computer industry haikuwa na manufaa zaidi ya kuonyeshwa dunia ilipotoka lakini ilinisaidia sana katika kazi zangu sana hasa katika hard disk vimeo kipindi hicho..
Kuna open source ngapi kati ya hizo zimeandikwa kwa Pure Pascal?Ni tanzania tu au africa tunapo icomplicate hii industry ya computer technology ila wenzetu wanapiga hatu kwa watu kuwa na open source kibao hasa zilizo applicable kwenye institution kibao
Lazima watakua na sababu zao kuwa bado wanafundisha Pascal, haswa umuhimu wa hizi lugha za zamani huwa zinawafanya wahusika wanaelewa programming concepts kwa kina zaidi ya lugha za kisasa ambazo zinarahisisha kazi hadi unakuta programmer anaandika software lakini mambo mengi ya programming hayajui.
-Give out vivid examples to breaktruth.
Kuna kitu kinachoongelewa hapa ambacho si kazi ya university kufundisha. Moja ya nguvu ya Pascal au Modula 2 ni ligha nzuri kufundishia programming principles kwa sababu zikostrict na husaidis kujenga programming discipline. mimi nilisoma principles kutumia Modula2 na baada ya hapo lugha nyingine kwa urahisi kwa kufundishwa darasani au kujifundisha mwenyewe kwenye internet na other sources. Kwa hiyo kabla ya kuidiscard Pascal tujiulize nia ya hiyo course ni kumfundisha mwanafunzi programming discipline au kutengeneza apps. Kwa computer science discipline ndio inayosisitizwa. hivyo kuna lugha za kufundishia na za kujengea apps. Mtu akijua Pascal anaweza kujifunza kwa urahisi sana lugha ya Delphi ambapo unaweza kudevelop apps O-O based.Ovyo sana, wanatia huruma, stuck in time. Kuna mtu anajua uni yoyote nyingine bado inafundisha Pascal???
hapa UDOM Informatics ukikutana na Massoud au babu mselle ni noma aisee,,
Hapo kwenye red, can you explain WHICH basics AND HOW does Pascal do better than modern languages. Time to move from opinionated statements to present facts.Hao jamaa wote unao waongelea walikuwa udsm Pascal inakupa mwanga na kujua basic zilizo kuwa zikitumiwa before. pia all in all programming languages zipo nyingi sana unachotakiwa kama it proffessional ni kujiendeleza mwenyewe katika lugha mbalimbali za computer tu bass
Tz kuna alot of Bogus developers kwasababu kama hii, na ndicho alichokisema pale juu Stefano Mtangoo kwamba wanafunzi wenyewe ni tatizo kubwa.
Kwamba mtu unaenda kuipenda programming ukiwa chuo, shame on you kabla hujaingia chuo ulikuwa unafikiria nini ? na programming ni soul passion na hii inanipa picha kwamba ulikurupukia programming yaani ulikua na choice nyingi before, ukaona uende tu kusoma CS n kuipendea huko huko.
Very sad.
And that is.
Nadhani unamanisha data abstraction, a programmer can use an object without knowing the internal details ie only needs to know what an object is and what it does. How object does a particular task is hidden from the programmer.Lazima watakua na sababu zao kuwa bado wanafundisha Pascal, haswa umuhimu wa hizi lugha za zamani huwa zinawafanya wahusika wanaelewa programming concepts kwa kina zaidi ya lugha za kisasa ambazo zinarahisisha kazi hadi unakuta programmer anaandika software lakini mambo mengi ya programming hayajui.
Eh bana tuende mbele turudi nyuma udom pale informatics wapo vzuri mi pia nakwazwa sana na hili swala la udsm kusoma pascal yani sijui wanafikiria nin hawa jamaa dunia tuliyonayo sasa sio ya pascal aseh naomba wahusika wapite huku wabadili huu uwozo