NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
- Thread starter
-
- #21
Ungependekeza nini wewe miaka yao ya masomo hiyo mitatu sijui minne wasome nini na nini kila semester?
Ila pia Jiulize are u better than UDSM lecturers?
kati ya sehemu napopaheshimu kwa level za Elimu Tanzania ni Chuoni tena Chuo kikubwa kama UDSM mm mtu hawezi nishawishi eti Wanachofundishwa hakifai...
Msifate Mkumbo wakuu kila mtu atakuwa mtalaamu wa kitu chake Unique usitake force kila mtu awe mtalaamu kile tu unachowaza wewe kina soko au kina wide varieties of perfomance
Asante sana umeleza vizuri sana mkuu!Mkuu twende mbele turudi nyuma, Pascal is a dead language..
Huo mfano wa app moja iliyoandikwa kwa Pascal doesn't make any difference, Ingeweza kuandikwa vizuri zaidi kwenye language kama C++. Wanaona uvivu kuiamisha tu sababu unaweza kuta codebase ishakua kubwa.
Pascal ilitumika miaka hiyo ya nyuma sana, siku hizi ukikuta industry inatafuta Pascal jua labda wana software ya zamani sana ambazo wanaona zitawacost sana kuziandika upya. Nenda google tafuta jobs uone kama utaona kampuni yoyote ya maana inatafuta mtu anayeandika Pascal. Hakuna hata moja..
UDSM hiyo choice ya language wamekosea, pitia vyuo vyote vikubwa duniani kama utaona kuna hata kimoja wanafundisha Pascal, kuanzia MIT, Harvard, Princeton, Caltech, wote utakuta ni Python au C. Wengine wanagusa Java, no one teaches Pascal nowadays. Hata internet kila kona wanasema its a dead language.
Maybe you should learn more programming iko wapi na inaelekea wapi, new features ni zipi na watu wanafanya nini before commenting. Ya nini kustick na language ambayo in the end you won't do anything significant with it, coz eventually utaiacha tu, kwanza haina support kwa hiyo ukiwa na tatizo utatafuta sana online kupata mtu ambaye angalau anaweza akajibu, pili utataka kuimplement a certain feature itabidi uandike from scratch from zero sababu hutopata library online ya kukufanyia wewe hiyo kazi. In the end hakuna kitu productive mtu anaweza fanya kwenye Pascal. Studying a language is more than just being able to code anything with it, its also about support utakayopata, kama utafanikiwa kutengeneza kitu cha maana, je utapata watu kirahisi kukusaidia kukuza codebase?
Facebook walijaribu kutengeneza Messenger service yao kwa language inaitwa "Erlang" ni very powerful language, hata Whatsapp ndo wanatumia, ila walikosa experts, wakahama language, wakatumia language iliyo na support kubwa. Sasa mtanzania ndo kwanza hata industry yetu iko very low, tuongeze shida tena kutumia languages zisizo na support, mwisho wa siku hakuna kitu tutaproduce
Chuo kama UDSM sidhani kama wao ni ndezi kiasi hicho nachojua Vyuo vya Tanzania wanafundisha Wataalamu wa Kimataifa
Eh bana tuende mbele turudi nyuma udom pale informatics wapo vzuri mi pia nakwazwa sana na hili swala la udsm kusoma pascal yani sijui wanafikiria nin hawa jamaa dunia tuliyonayo sasa sio ya pascal aseh naomba wahusika wapite huku wabadili huu uwozo
hapa UDOM Informatics ukikutana na Massoud au babu mselle ni noma aisee,,
Ungependekeza nini wewe miaka yao ya masomo hiyo mitatu sijui minne wasome nini na nini kila semester?
Ila pia Jiulize are u better than UDSM lecturers?
kati ya sehemu napopaheshimu kwa level za Elimu Tanzania ni Chuoni tena Chuo kikubwa kama UDSM mm mtu hawezi nishawishi eti Wanachofundishwa hakifai...
Msifate Mkumbo wakuu kila mtu atakuwa mtalaamu wa kitu chake Unique usitake force kila mtu awe mtalaamu kile tu unachowaza wewe kina soko au kina wide varieties of perfomance
hapa UDOM Informatics ukikutana na Massoud au babu mselle ni noma aisee,,
Unataka kusema Mwaka mzima wanasoma Pascal tu bila kusomaLanguage nyingine?
Si mtaalamu wa Programming ila Usidharau kitu chochote I have plenty of Good softwares written in Pascal usije hapa kuwaaminisha watu ati Pascal haina maana ulimwengu wa leo.
And Mind You Chuo kama UDSM sidhani kama wao ni ndezi kiasi hicho nachojua Vyuo vya Tanzania wanafundisha Wataalamu wa Kimataifa
Nimesoma Chuo ila kuna vitu tumejjifunza sio Common nchini kwetu ila nchi za jirani vipo,siwezi kusimama kasema chuo changu wali Bugi kunifundisha kitu ambacho hakipo kwetu.
who knows my future? si ajabu kaenda kufundisha au kufanya kazi ambako hicho kitu ambacho nakidharau kipo au kinatumika
Example of app written in Pascal
kwa walotumia hizi apps watakwambia mambo yake na nawashauri wanafunzi wote wa UDSM wa hiyo course mtakaosoma thread hii hapa msipuuze mnachofundishwa na Walimu wenu au ma prof wenu kwa kusikiliza eti who Learns Pascal this world,so long as in Programming language jifunzeni tu mnafundishwa muwe watalaamu wa Ulimwengu mzima na hauwezi kuwa mtalaam kwa ku Ignore vitu ambavyo haujui labda ungekua wewe ndo expert kuzidi vile mleta mada anavyotaka walimu wenu wawafundishe
Ungependekeza nini wewe miaka yao ya masomo hiyo mitatu sijui minne wasome nini na nini kila semester?
Ila pia Jiulize are u better than UDSM lecturers?
kati ya sehemu napopaheshimu kwa level za Elimu Tanzania ni Chuoni tena Chuo kikubwa kama UDSM mm mtu hawezi nishawishi eti Wanachofundishwa hakifai...
Msifate Mkumbo wakuu kila mtu atakuwa mtalaamu wa kitu chake Unique usitake force kila mtu awe mtalaamu kile tu unachowaza wewe kina soko au kina wide varieties of perfomance
Mkuu sisemi I am better than UDSM, ila still nimesoma chuo ambacho wamejipanga vizuri kuliko UDSM, I am simply sharing my experience ili wabadilike tusonge mbele, swala sio kufata mkumbo, kuna vitu UDSM wanapatia ila hili wanakosea. Nimesoma Computer Science & Engineering kwa hiyo najua vizuri courses zote zinahusiana na nini, na kuna very important courses ambazo UDSM ni cheche, tukiacha hilo swala la Pascal kwamba wako nyuma, turudi kwenye vitu kama Artificial intelligence, hakuna machine learning UDSM wakati dunia nzima iko huko sa hivi, any big tech company siku hizi wana machine learning algorithms kwenye backend zinahandle data, sio google, sio facebook sio quora, stackoverlow, apple etc, that way jamaa wanazidi kua on top of their competitors siku zote. Machine learning inafundishwa vyuo vingi tu duniani, tusiongelee sana marekani ila hata Asia vilevile. Hatuwezi kukaa tunabaki nyuma tunang'ang'ania mambo ya zamani na kusifia ati kisa jina UDSM, lile ni jina tu wanaweza kua top bongo ila tukija kwenye swala la world market kwenye technology hakuna wanachofanya. Course nyingine kama Computer architecture,kujua assembly code na deep down machine imetengenezwa vipi ni very important, sio tu kwa performance ila hata security, na bado ukitaka kuunda a fully programmable machine kama hujui low level kuna nini hutoweza.. We huoni bongo tunatengeneza vitu kwa kuunga parts tu, kusema tuweke our own programmable logic ni mziki, wachache sana wanaweza.
Hakuna kitu kama kila mtu kua mtaalamu wa part yake, sasa ya nini kua mtaalamu wa kitu ambacho hakina faida? Tunasoma ili iweje sasa? Ulimwengu wa software hauko hivo, ndio maana kuna kitu kinaitwa Open source, software siku zote lazima kue na ushirikiano, huwezi kaa mtu moja ukatengeneza microsoft word, its impossible. Sasa kama language unaijua mwenyewe utatengeneza nini cha maana. Mkuu em jaribu kujifunza programming kidogo ufike level ya kutrngeneza a very simple application alafu urudi utuambie kama hujabadilisha mawazo
Umekula maharage ya wapi kwani???Wataalam wa pascal?dude plz t seems hata hujui programming ni nn??shame on u wenzetu wanakomaa na python plus r huko we unakazana na pascal hv unajua hata pascal inatumika kufanya nn?
Ungekua unajua technology kiasi usingeongea utumbo huu,!
Mkuu twende mbele turudi nyuma, Pascal is a dead language..
Huo mfano wa app moja iliyoandikwa kwa Pascal doesn't make any difference, Ingeweza kuandikwa vizuri zaidi kwenye language kama C++. Wanaona uvivu kuiamisha tu sababu unaweza kuta codebase ishakua kubwa.
Pascal ilitumika miaka hiyo ya nyuma sana, siku hizi ukikuta industry inatafuta Pascal jua labda wana software ya zamani sana ambazo wanaona zitawacost sana kuziandika upya. Nenda google tafuta jobs uone kama utaona kampuni yoyote ya maana inatafuta mtu anayeandika Pascal. Hakuna hata moja..
UDSM hiyo choice ya language wamekosea, pitia vyuo vyote vikubwa duniani kama utaona kuna hata kimoja wanafundisha Pascal, kuanzia MIT, Harvard, Princeton, Caltech, wote utakuta ni Python au C. Wengine wanagusa Java, no one teaches Pascal nowadays. Hata internet kila kona wanasema its a dead language.
Maybe you should learn more programming iko wapi na inaelekea wapi, new features ni zipi na watu wanafanya nini before commenting. Ya nini kustick na language ambayo in the end you won't do anything significant with it, coz eventually utaiacha tu, kwanza haina support kwa hiyo ukiwa na tatizo utatafuta sana online kupata mtu ambaye angalau anaweza akajibu, pili utataka kuimplement a certain feature itabidi uandike from scratch from zero sababu hutopata library online ya kukufanyia wewe hiyo kazi. In the end hakuna kitu productive mtu anaweza fanya kwenye Pascal. Studying a language is more than just being able to code anything with it, its also about support utakayopata, kama utafanikiwa kutengeneza kitu cha maana, je utapata watu kirahisi kukusaidia kukuza codebase?
Facebook walijaribu kutengeneza Messenger service yao kwa language inaitwa "Erlang" ni very powerful language, hata Whatsapp ndo wanatumia, ila walikosa experts, wakahama language, wakatumia language iliyo na support kubwa. Sasa mtanzania ndo kwanza hata industry yetu iko very low, tuongeze shida tena kutumia languages zisizo na support, mwisho wa siku hakuna kitu tutaproduce
Natamani sana kujifunza IT hasa programming ingawa sina basic yoyote. Wapi naweza kupata hyo elimu kwa muda nje ya muda wa kazi??
we kalia kuponda tuu shiiit,, mwenzako nimejifunza ujuzi mkubwa kutoka kwa masudi ,a najiamini, hata fild zangu zote nafanya Tigo ktk service program designing kutokana na utaalam naozid upata hapa info,Unasifia utumbo tu
Msele zaid ya map code anajua nn kingine??
Na masoud nae anajua programming?dude kapata mashaka na uwezo wako
Kuna site inaitwa W3school ni nzuri sana .Mkuu kwanza kabisa heshima mbele,
Nami ni mmoja kati ya watu walio inlove with Coding ila kwa sasa nimeanza kidoogo kusoma html & css mkuu naweza pata link nzuri yenye vitabu vya hii course!!
Mkuu sitaki kusema hii Language ni nzuri kuzidi language zingine nimefurahi unahoji swali afu unajijibu umeshajua Kabisa Kuna OLD softwares ambazo ziko written in Pascal na kuna kampuni haziko tayari kuziandika kwa Lugha nyingine na hapo ndo soko linapoanza maana mm ninayo mifano ya Program nilizokutajia awali zimeandikwa kwa pascal zamani kidogo ila mpaka leo zinatumika na wanaitaji watu wa kuzifanyia modifications with time na hii inanipa Jibu kwa nn UDSM wamei neglect miaka ilopita kama baadhi walivyosema ila baade leo hii wameirudisha kuwafundisha watu.
Kwenye Bold hapo unasema No one teaches Pascal naona Unapotosha Mchana kweupe Kuna Course UDEMY wanafunzi walokua enrolled ni 670 sio Big number ila ni best number kwa lugha kama hii
Inshort nkwambie tu na mm ni mmoja kati ya hao 672 na kama kuna anaitaji Video lectures kutoka Hii course ninazo anaetaka nazigawa BURE kabisa
Nimei order kwa promo around 12$ ila sijajuta sababu hela zitarudi mara 100 zaidi😛oa
With Little knowledge nimeweza ku solve matatizo walokua nayo kwenye hizo codes 🙂
Ndo hayo Mkuu unaweza kuona Huyu mzee na Knowledge yake ya Pascal kati ya hao 670 kama ana earn lets say average 30$ sababu kuna wanaoingia promo na kuna wanaonunua full kwa kichwa kimoja unafikiri huyu aloandaa hii course haja earn Living?
Na tutorial ukiziandaa umeziandaa unapumzika tu,They say Knowledge is Power
Mkuu pia kuna css framework kama bootstrap unaweza kujifunza jinsi ya kuzitumia pia inasaidia sana kwenye designing ila ni vizuri ukaijua css kwanza ili uweze kutumia hizi framewor.Mkuu kwanza kabisa heshima mbele,
Nami ni mmoja kati ya watu walio inlove with Coding ila kwa sasa nimeanza kidoogo kusoma html & css mkuu naweza pata link nzuri yenye vitabu vya hii course!!