UDSM on Air...

UDSM on Air...

Kama kuna aliyechaguliwa kusomea uchumi au bcom hapo udsm aniPM nimpe ABC za kuwin battle.
 
Jamani kuna yeyote aliyeshatumiwa adimision letter
Utaratibu uliokuwepo sijajua kama wamebadilsha ila ulikua unatua chuo pale na vyeti vyako cha form four, six or result slip, cheti cha kuzaliwa na kitambulisho then pia kuna vijana wanaitwa ASK ME wamevaa karatasi zimeandikwa hivyo ukimuuliza atakupeleka kuchukua admission letter.
 
Haya,, vijana andaeni matranka,kwanja moja,jembe, godoro, tomato na suruali nyeusi kwa wavulana sare, panga moja na blanketi la kujifunika wakati wa baridi....duuh nilitaka nisahau soft broom na mopa kwa wasichana!!!! viatu vyeusi na soksi nyeupe!!!!!!! (JOKING JAMANI)

Taarifa zote kuhusu kuripoti UDSM zitapatikana katika website ya chuo na mengine mengiii... tulizeni mizuka kila kitu kipo kawaida sana... na nawatakia mafanikio mema katika masomo yenu maana wengi huenda kwa mzuka na kuishia kukimbia kwa hiari yao!!!
 
Oya REGISTRATION NUMBER INAKUAJEE KWA UDSM
 
Samahan hizo fomu zao ukizidownload unazi print au
mkuu sasa unafikir utaenda nazo vp? ni lazima uziprint,ila admission leter utaipata huko2 chuo,kuanzia hiyo tareh ya orientation so fanya taratibu zote mapema.
 
Oya REGISTRATION NUMBER INAKUAJEE KWA UDSM

Registration number ipo kwenye admission letter ambayo utapewa ukiripoti hiyo tar 8. Andaa chochote kati ya result slip ya f6, certificate ya f4 au cheti chochote cha kukutambulisha. Mambo yapo systematically usiwe na wasi ndugu.
 
Haya,, vijana andaeni matranka,kwanja moja,jembe, godoro, tomato na suruali nyeusi kwa wavulana sare, panga moja na blanketi la kujifunika wakati wa baridi....duuh nilitaka nisahau soft broom na mopa kwa wasichana!!!! viatu vyeusi na soksi nyeupe!!!!!!! (JOKING JAMANI)

Taarifa zote kuhusu kuripoti UDSM zitapatikana katika website ya chuo na mengine mengiii... tulizeni mizuka kila kitu kipo kawaida sana... na nawatakia mafanikio mema katika masomo yenu maana wengi huenda kwa mzuka na kuishia kukimbia kwa hiari yao!!!
Umenikumbusha miaka hio advanc hahahaha jembe, godoro, shati lazima liwe tomato

0404
 
Registration number ipo kwenye admission letter ambayo utapewa ukiripoti hiyo tar 8. Andaa chochote kati ya result slip ya f6, certificate ya f4 au cheti chochote cha kukutambulisha. Mambo yapo systematically usiwe na wasi ndugu.
Oya inakuaje without FORM SIX CERTIFICATE Brother hautapokelewa auh
 
joining instruction nitaipataje wadau..
wew nendeni na vyeti vyote vya muhimu kam birth certificate,csee,acsee result slip izo joining instructions pamoja na forms za kujaza na adm.lettr utapata chuo siku mloambiwa mkaripoti so mjipange
 
Back
Top Bottom