UDSM, miundombinu inawatia doa (picha)

UDSM, miundombinu inawatia doa (picha)

Hali ni mbaya udsm. Sewage system ndo hazifai. ..maji kukatika Kila siku...vyoo vya kukaa kwenye ma hall ya campus ni havifai toka enzi za mkoloni...hall 7 maji yamekuwa kitendawili....hizo picha ni baadhi tu....ila hali ni critical zaid ya hapo inavyoonekana hapo....
Uongozi wa wanafunzi ni very big disappointment.
 
Ndio wanafunzi kama hawa wana andamana kumlipia mtu form ya Urais !
 
Nimepita hapa UDSM Leo miundombinu mingi yakiwemo mapitio, ngazi, taa cafteria, halls za makazi ya wanafunzi hususani hall 1&2 ni mbovu na chafu, vyoo vingi ni vichafu sana na vibovu ukianzia na vile vya pale DARUSO..

Pia kwa namna nilivyoona hizi hall 1&2 ziko overpopulated na sina uhakika na uthabiti wake ukilinganisha umri wake..

Hii ni aibu kubwa kwa utawala wa Chuo Kikuu hiki kikongwe naam Tanzania yote! Kwani wageni wengi wanapita hapo kupata elimu, lakini pia usalama wa kiafya na uhai kwa wanafunzi ni equal to zero kutokana na hayo juu....

Cha kushangaza hapa kuna makampuni ya usafi hata hayafanyi usafi ipasavyo na utawala unashangaa tu!

Haya ma-hall hususani 1&2 nadhani si Salama kwa makazi ya wanafunzi, yavunjwe jengeni mapya asheeh!!.... Kwani nini msubiri maafa?

attachment.php

Hebu jengeni tena hizo ngazi za mapitio ya wanafunzi et al..
(Ngazi eneo la jirani na cafteria)

attachment.php

Hata vimilango vya kuunganisha kwa hela kidogo vinawashinda?
aibu aisee..

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Vyoo ndani ya DARUSO (Case study);

Yaani hii sio kabisa UDSM nawashangaa pia serikali ya wanafunzi mnabong'aa tu na haya mnayaona hadi Kaka zenu tuje....ny'mba.f

Halafu pakeni hata rangi hayo majengo ni machafu sana.. UTADHANI HAMPO.. Mgaya nawe Rwekaza na utawala hapo, hebu rudisheni hadhi ya UDSM....The environment is more than nasty!

REKEBISHENI Agghh...dismayed alumni.

UDSM ina jina kubwa kubaki ktk halo hiyo ni aibu kubwa.
 
alumnae wa hapo jikusanyeni mpige harambee .. mkusanye pesa na muombe baraka za chuo na mzitie katika mradi wa ukarabati moja kwa moja. mkisimamia wenyewe ujenzi (weekends).. thats a quick solution
 
Hiki chuo kimetoa majambazi wa kalamu wengi sana....wasomi wanaaribu kazi kwa vitabu vingi walivyosoma
 
Kama wasomi wanaishi ktk mazingira machafu ivyo unategemea wakija mtaani watafikiri kutengeneza sewage system bora ktk mikoa au ma jiji au hata ktk makazi yao.pump zipo wanshindwa kuchimba hata visima chini huku na ma engeneer wapo ssa elimu yenu inawaidia nn jaman? Hilo swala hata milion 100 nying ikifanywa kazi na wanafunzi kwa usimamiz wa walimu.
 
Nimepita hapa UDSM Leo miundombinu mingi yakiwemo mapitio, ngazi, taa cafteria, halls za makazi ya wanafunzi hususani hall 1&2 ni mbovu na chafu, vyoo vingi ni vichafu sana na vibovu ukianzia na vile vya pale DARUSO..

Yaani hii sio kabisa UDSM nawashangaa pia serikali ya wanafunzi mnabong'aa tu na haya mnayaona hadi Kaka zenu tuje....ny'mba.f

Halafu pakeni hata rangi hayo majengo ni machafu sana.. UTADHANI HAMPO.. Mgaya nawe Rwekaza na utawala hapo, hebu rudisheni hadhi ya UDSM....The environment is more than nasty!

REKEBISHENI Agghh...dismayed alumni.

Mkuu hawa wakuu wa Vyuo wako bussy na kuwaandikia madeza wanasiasa kupitia tafiti feki.
Wanachuo nao hawako nyuma wao pesa za Mikopo wanawachukulia wagombea Uraisi Fomu -hapo usitegemee maendeleo.
Uchafu wa aina hiyo ni reflection wa Wahusika hadi kichwani.

Hongera sana kwa kuliweka hili wazi.

Hivi huwa hakuna fedha za ndani zinazoweza kutumika kwa ukarabati?

Alah Mkuu hata Usafi nao mpaka Fedha ?.
Tile cleaner bei ngani?

Hawa jamaa ni wafivu wa kufikiri na kutenda-na Kama usomi wenyewe ndiyo kama huo ni shida tu wakija huku uswahilini.
 
watanzania sehemu ambapo wamefeli ni kwenye usafi wa vyoo... yani mara mia mtu alipie aishi nje kuliko kulala kwenye dorms kabla hujaingia inabidi uvue nguo zote maana ukitoka nguo zinatoka na harufu... Haya ni maisha ya kijinga sana, uvivu utatuua watanzania.
 
Wanafunzi sasa wanaogopa kuhoji, hawawezi kuhoji maana ukihoji adhabu ndogo unayopewa ni kufukuzwa chuo. Waliopo juu hawataki challenge, wanataka wapigiwe tu makofi na ngonjera. Katika hali kama hii, unazalisha mimbumbumbu iliyopita kitu inaitwa chuo kikuu. Ndo hao sababu walizoea mazingira mabovu, wanaona ndo style ya maisha, kesho wakija mtaani wanatupa taka mtaroni, graduate huyo.
 
hali ni tete. vyoo hasa vile vya jirani na semina rooms vinatoa harufu kali hadi inafika mlimani city. huko mabwenini hali ni mbaya usipime
 
Inawezekana tatizo ni madenti wa siku hizi ni wachafu na hawajastarabika
Mbona miaka ya nyuma udsm na vyoo vyake ilikuwa safi na yapendeza?
 
Inawezekana tatizo ni madenti wa siku hizi ni wachafu na hawajastarabika
Mbona miaka ya nyuma udsm na vyoo vyake ilikuwa safi na yapendeza?

Ulilosema ni kweli watu wazima si wastaarabu kwenye matumizi ya vyoo yani hadi kero.
 
Back
Top Bottom