UDSM, miundombinu inawatia doa (picha)

UDSM, miundombinu inawatia doa (picha)

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,209
Reaction score
12,510
Nimepita hapa UDSM Leo miundombinu mingi yakiwemo mapitio, ngazi, taa cafteria, halls za makazi ya wanafunzi hususani hall 1&2 ni mbovu na chafu, vyoo vingi ni vichafu sana na vibovu ukianzia na vile vya pale DARUSO..

Pia kwa namna nilivyoona hizi hall 1&2 ziko overpopulated na sina uhakika na uthabiti wake ukilinganisha umri wake..

Hii ni aibu kubwa kwa utawala wa Chuo Kikuu hiki kikongwe naam Tanzania yote! Kwani wageni wengi wanapita hapo kupata elimu, lakini pia usalama wa kiafya na uhai kwa wanafunzi ni equal to zero kutokana na hayo juu....

Cha kushangaza hapa kuna makampuni ya usafi hata hayafanyi usafi ipasavyo na utawala unashangaa tu!

Haya ma-hall hususani 1&2 nadhani si Salama kwa makazi ya wanafunzi, yavunjwe jengeni mapya asheeh!!.... Kwani nini msubiri maafa?

attachment.php

Hebu jengeni tena hizo ngazi za mapitio ya wanafunzi et al..
(Ngazi eneo la jirani na cafteria)


attachment.php

Hata vimilango vya kuunganisha kwa hela kidogo vinawashinda?
aibu aisee..

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Vyoo ndani ya DARUSO (Case study);

Yaani hii sio kabisa UDSM nawashangaa pia serikali ya wanafunzi mnabong'aa tu na haya mnayaona hadi Kaka zenu tuje....ny'mba.f

Halafu pakeni hata rangi hayo majengo ni machafu sana.. UTADHANI HAMPO.. Mgaya nawe Rwekaza na utawala hapo, hebu rudisheni hadhi ya UDSM....The environment is more than nasty!

REKEBISHENI Agghh...dismayed alumni.
 

Attachments

  • 1431618412831.jpg
    1431618412831.jpg
    77.5 KB · Views: 2,189
  • 1431618510161.jpg
    1431618510161.jpg
    28.5 KB · Views: 2,593
  • 1431618575814.jpg
    1431618575814.jpg
    16.5 KB · Views: 1,133
  • 1431618720287.jpg
    1431618720287.jpg
    26.7 KB · Views: 1,092
  • 1431618906398.jpg
    1431618906398.jpg
    59 KB · Views: 1,086
Kama wafundishaji hawaoni hilo, je hata kwenye kufundisha wako vizuri kweli?
 
Ila jamani ni chuo cha zamani sana
 
Ukiingia cafteria 1 hapa juu jengo lina shot wakiwasha tu taa jioni full cheche huko juu na wanashangaa tu na pale jirani Yule bwana chipsi mayai yupo na mitungi yake ya gesi...milawama hii iwafikie udsm utawala na serikali ya wanafunzi kwa kushindwa ku-address issues ndogondogo kama hizi za maintenance....nawapa miezi SITA muwe mmerekebisha eboo
 
Uongozi wa UDSM Rudisheni hadhi ya hiki chuo pendwa cha wananchi wa Tanzania
 
Wengi waliotokea hapo ndo haao wa Escrow, EPA na Meremeta. Kwa hapo, hiki chuo nakisifu
 
Aibu kwa kweli,ila hapo umemtaja mgaya.Mgaya siyo deputy vince chancelor utawala tena

Sawa maa'dm thought bado yupo hapo tangu enzi zile...hata hivyo yeyote anaehusika taarifa hizi zimfikie wadau wa hiki chuo hatupendi kuona chuo chetu hakitunzwi,,,as if sio wasomi bwana😡
 
Tatizo ni mgao wa bajeti kutoka serikalini kuwa mdogo na hata huo mdogo haufiki wote. Mafungu ya fedha siku hizi ni hazina tu
 
Bado hukaongelea wanafunzi kuhudhuria lectures nje ya seminar rooms
 
Si useme tu unasoma hapo, kwanini kuongopa? Mambo ya kusema umepita leo halafu unajua details za hadi ndani ya vyoo?

Haisaidii niwe nasoma hapo au laah...ila fahamu mi sisomi hapo kama nilivyosisitiza kwenye thread nilihitimu kitambo MUHIMU ni huu ujumbe kuwafikia wahusika.
 
Kuna watu wanapokea per diems kupitisha bajeti. Mkandara amewekeza kwenye elimu ila miundo mbinu imekufa yote. Hao wanafunzi wa hall 5&2 wanaishi kimachale sana, kuchafu kupindukia.

Hakuna ukarabati unaofanyika.
 
Tatizo ni mgao wa bajeti kutoka serikalini kuwa mdogo na hata huo mdogo haufiki wote. Mafungu ya fedha siku hizi ni hazina tu

Hivi huwa hakuna fedha za ndani zinazoweza kutumika kwa ukarabati?
 
Bado hukaongelea wanafunzi kuhudhuria lectures nje ya seminar rooms

Ni kweli mkuu tatizo hilo ni la muda mrefu nikadhani labda baada ya kuongeza lecture halls Yombo et al limepungua!
 
Katika pita zangu katika majengo mbali mbali ya Umma ,ibada hata sehemu za watu binafsi kama kumbi mbali mbali mifumo ya maji hasa chooni uwa ni mibovu tatizo ni nini?

Teknolojia bado ni changa ?

Au kinyaa cha wahusika?
 
Back
Top Bottom