Shin Lim JF-Expert Member Mar 27, 2012 7,139 12,816 Nov 26, 2023 #21 Kama UDSM ni chuo cha kata basi vingine ni skuli za upili.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 49,662 105,959 Nov 26, 2023 #22 Ila watoto wa chuo kwa sasa uwezo wazo mdogo sana, wameharibiwa na simu na mapenzi. Enzi zetu ilikuwa balaa
Ila watoto wa chuo kwa sasa uwezo wazo mdogo sana, wameharibiwa na simu na mapenzi. Enzi zetu ilikuwa balaa
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 26,379 34,731 Nov 26, 2023 #23 Hakuna kitu tena pale UDSM, Siasa imetawala...wasomi wamekuwa machawa wa CCM