UDSM kuna ukiritimba mwingi sana kwenye kupata cheti/transcript

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,636
Utaambiwa mara server ina tatizo, mara network haisomi. Mtu unajaribu ku beat deadline ya ku apply kazi ila mi bureaucracy kibao. Hili tatizo lipo miaka nenda miaka rudi.
 
Inatakiwa mtu afanye online application na baada ya siku 2 apate chake chake.
 
Back
Top Bottom