Brother Jero
Senior Member
- Jan 31, 2012
- 138
- 89
Hii ndio Africa.ukisoma simulizi ya mwandishi mmoja maarufu wa afrika magharib,marehemu Ken Saro wiwa "Africa Kills Her Son" ataona mambo haya hayako hapa kwetu Bongo tu! Mabadiliko yaja,hata hivyo.Hiyo ndo hali ya aibu inayolikumba taifa, watalaam wazuri wasema ukweli wanasumbuliwa sana na siasa za matumbo za watalawa; LAKINI MPIGANAJI hawi mpiganaji mzuri na mkubwa bila kupigana, Dr A. atadhihirisha hilo.