Solidarity 4rever,msisahau na kumtaka kawambwa ajiuzulu,hana jipya hapo wizaran kwake.ijumaa.
Kama we umesoma kaa kimya,hamna ambae amenda kufanya biashara pale,ushauri peleka kwa watoto wako kama c mgumbaSomeni nyie..mmefuata elimu chuo na siyo boom.
Kama we umesoma kaa kimya,hamna ambae amenda kufanya biashara pale,ushauri peleka kwa watoto wako kama c mgumba
Someni nyie..mmefuata elimu chuo na siyo boom.
Someni huko!
utasoma huku ukiwa na njaa mkuu?
kama ungekuwa mwanafunzi ndo ungejua umuhimu wa boom chuoni stop posting senseles ideas watu wanastarve ile mbaya u just dont knw
huyo inadhihirisha hana elimu na kama amesoma basi ndio walewale waliopata marks ndogo na hawakupata boom that y hajui umuhimu wake.Atakuwa wa IFM au TIA tu.