UDSM: Kongamamo la ujamaa na uzalendo

UDSM: Kongamamo la ujamaa na uzalendo

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
9,541
Reaction score
10,899
Karibuni watanzania wote na wasio watanzania kwenye kongamano hili la uzalendo na ujamaa...
uvccm_udsm___Bs0vNofDfeF___.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajamaa mnajifariji sana.

Huwezi ukaendelea kwa Sera za kijamaa kama huna teknolojia unayozalisha.

Ujamaa nao ni tawi la umasikini.
 
Wajamaa mnajifariji sana.

Huwezi ukaendelea kwa Sera za kijamaa kama huna teknolojia unayozalisha.

Ujamaa nao ni tawi la umasikini.
Akina bashiru ally na polepole wanadhani kuvaa boxer moja j3 -j2 ndo ujamaa kumbe ni uchafu
 
Watu wameshamjulia magufuli. Wnajua anapenda sifa na utukufu. Sasa kulala naye mbele ni kumpa sifa tu za kujinga. Naona wanajifunza hska katabia kutoka kwa makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujamaa???

Are you serious!

Mnaujua Ujamaa au mnausikia? Nionesheni kiongozi walau mmoja ndani ya chama anaeishi katika falsafa hii ya kijamaa.

Vijana rudini darasani haya mambo yalishawashinda wakubwa zenu acheni kupoteza muda au badilisheni mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom