mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,534
- 138,488
Reallynchi haipendwi kwa maandishi ya kuhamasisha.
nchi itapendwa kwa matendo yanayolinda utu wa mwanadamu.
Tuache kudanganyana hapa, hakuna ujamaa wala mjamaa,Karibuni watanzania wote na wasio watanzania kwenye kongamano hili la uzalendo na ujamaa...View attachment 999322
Sent using Jamii Forums mobile app