abuu khaulah
Member
- Feb 12, 2016
- 12
- 9
Boom hamna, njaa kaliJamani kwa wale mliopo Udsm, 2peni sababu ya fujo zilizotokea ucku!
Okay bila shaka vijana wameshafika hapo hakuna kitakacho halibika.Kuna mtu alisema 95% ya vyoo vimeziba, itakua ndio maana kunanuka, itakua chemba zimeanza kutema jana usiku.
Hakika KUMENUKA huko chuoni.