UDSM imeachia round 4 & 5

UDSM imeachia round 4 & 5

wanangu noma sana asee, yaani inakatisha tamaa. maana profile ziko okey sasa tatizo liko wapi??? napia second batch ya udsm sijaiona kabisa au ndo yetu sisi?

Hata mm hiyo second Bach sijaona, Sasa sijui tufanyaje
 
wanangu noma sana asee, yaani inakatisha tamaa. maana profile ziko okey sasa tatizo liko wapi??? napia second batch ya udsm sijaiona kabisa au ndo yetu sisi?

Maybe udsm bado hawajapelekewa majina na nacte
 
Nilijaribu kupiga Sim wakasema nisubir, nasasa majina Tayar alaf langu silioni
 
Nahisi kuna tatizo sehemu,hata mdogo angu nae anatatizo kama hilo,sijui udsm tatizo nn?!
 
Udsm wanatumiza vichwa sana yaani tunachanganyikiwa hukuuu
 
mimi jina langu katika batch zote halipo, ila profile inaeleza kuwa nimekuwa provisionally selected udsm , kizuri zaidi hakuna nilichokosea katika profile na hata katika mchakato mzima wa kufanya application, inshu inakuja kuwa tyt pale majina yakija kudadeki sijioni daaaaaah, yaani kitu kinagonga kinarudi mbaya zaidi muajiri anataka barua hapo ndo patam arif.
 
ila leo tutajua mbivu na mbichi, nimemtuma mwana akacheki na utawala ili apate jibu la uhakika kama tunaenda tujiandae au kama mwaka huu hatuendi basi tuendelee na michongo mingine ya kutafuta maisha, maana kama mungu hajapanga basi huwezi force asee na ukilazimisha utashangaa unaenda ishi maisha kama umesuswa , ila wajomba tusikate tamaa mwisho wa siku kitaeleweka tuu, ila tujipange kwa lolote litakalotokea.
 
Hata mm hiyo second Bach sijaona, Sasa sijui tufanyaje

Maybe udsm bado hawajapelekewa majina na nacte

Mpambalachuma : hapo ndo tunatakiwa tupeane mawazo wazee maana huu msiba ni wetu mwana,
Sumaibra: Nacte wao washafanya yao mwana majina yapo udsm tayari kazi ni kwao kuyachuja au wanatubeba wote, sasa nadhani chuoni wana mambo mengi au wamesahau km wameruka batch moja???
 
Nategemea j3 niende Udsm, wakizingua naenda Nacte, maana Hali tete hata mkopo tunaweza kosa maana hatima yetu bado kujulikana
 
Mpambalachuma : hapo ndo tunatakiwa tupeane mawazo wazee maana huu msiba ni wetu mwana,
Sumaibra: Nacte wao washafanya yao mwana majina yapo udsm tayari kazi ni kwao kuyachuja au wanatubeba wote, sasa nadhani chuoni wana mambo mengi au wamesahau km wameruka batch moja???

majina hayajafika udsm...
Nacte wamepeleka tcu na udsm bado hawajapata..

Kuen wavumilivu
 
Waanga wa udsm tupo wengi humu mimi ni mmoja wapo .Nimechanganyikiwa
 
Click hapa
https://www.udsm.ac.tz/node/542

nmegundua ktu upendeleo unafanyika kwa watu wa tcu,kama majna yamepelekwa tang tarehe 12 tcu bdo tu wanawapa kipaumbele sx cz batch four tcu ilkua kabla ya hyo tarehe na udsm wameshatoa hya kwel majanga .kunakutoswa sio kla alieptia tcu yupo vzur kuliko alieptia nacte.n changamoto tu za kmaisha ndio maana kla mtu anatoka kvyake.real thz z not fair
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom