Wakuu yaani nimevurugwa asee!
Nilikuwa najua kuripoti ni tarehe 27 nikajipanga nikakata tiketi tarehe 23 niondoke tarh 26 alafu wanaleta habari ya kubadili muda wa kuripoti. Ndio hivyo kesho nakuwa dar alafu sina ndugu. Aaah! Nafanyaje sasa. Naombeni mnishauri.