Ukija UDSM, nenda Mabibo Hostel au Magufuli Hostel ukiwa na documents zako then mwambie Warden wa Block lolote lile kuwa wewe ni first year umetokea mkoani na huna ndugu Dar, utapewa room. Kama utakuwa mwoga wa kuongea nao unitafute, nitakusaidia bure kabisa. Me npo hapa UDSM
. Nadhani umefunga mjadala mkuu..Ukija UDSM, nenda Mabibo Hostel au Magufuli Hostel ukiwa na documents zako then mwambie Warden wa Block lolote lile kuwa wewe ni first year umetokea mkoani na huna ndugu Dar, utapewa room. Kama utakuwa mwoga wa kuongea nao unitafute, nitakusaidia bure kabisa. Me npo hapa UDSM