Udsm....duce

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
CHADEMA WASHINDA UCHAGUZI WA URAISI DUCE. KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA, UCHAGUZI ULIOJAA HISIYA ZA KICHAMA CHA CHADEMA NA CCM,, ANAYE TUHUMIWA NI MGOMBEA KWA TIKETI YA CHADEMA KASHINDA USHINDI WA SUNAMI, WENGINE WANASEMA INATABIRI Tz MWAKA 2015 ITAKAVOKUA!!! JAMANI CCM NDIO IVYO TENa!!!!!!! bye
 
acha ujinga wako 2015 mtaisikia tu na mgombea wenu Padri Mstaafu!
 
Siasa hairuhusiwi huko jamani anagalieni hizo tathmini yenu isijeikawatia wanamagamba mawazo ya kumtarget huyo mshindi kumbe ni nyie ndo mnatia mawazo yenu ya kichama.
 
cha maana vijana muwe tayari kwa mabadiliko,,,ambayo yanaweza kutokea popote,,iwe CHADEMA iwe CCM iwe CUF iwe TLP yote kheri ila kinachoitajika ni utayari na amani,,,,mungu ibariki tanzania
 
uzalendo ninaouzungumzia sio upenzi wa vyama bali ni kutimiza ilani za vyama ambazo kwa asilimia kubwa zinahimiza maendeleo hya taifa.
 
congrats CHADEMA kwa CHASO Initiative..hii inatengeneza hazina kubwa sana kwa uongozi ujao katika chama na serikali! Na kwa taarifa yenu elimu na siasa ni vitu vinavyoenda sambamba,sasa km hiyo hiyo siasa ndiyo inaafect sera ya elimu kwa nini wanaosoma kupitia sera hiyo hiyo wasishiriki katika siasa!?.
 
Back
Top Bottom