mr chakubanga
Senior Member
- Oct 16, 2017
- 124
- 268
siasa zimekatazwa ila hazijazuiwaSiasa si zimekatazwa vyuoni?
Kaka hulali? Huku niliko mimi saa nane na nusu mchana!siasa zimekatazwa ila hazijazuiwa
Uchaguzi wowote kama policcm na TISCCM hawajatia maguu lazima iangukie pua.moja Kati ya chaguzi za kusisimua katika chuo cha daressalaam umeisha kwa makada watiifu Frank isack na matalunya evarist kupigwa chini licha ya kutamba lazima washinde hata kwa goli la mkono.
haruna Stanley kutoka kitivo cha Cohu ameibuka kidedea akiungwa mkono na wana CHASO
[HASHTAG]#Solidarity[/HASHTAG] forever
mzee chakubanga from lumumba
Hata mkiwabwaga chini hamtafaidika na lolote.
Sizitaki mbichi hizi.Haina tija hii!!
Hahahaaaa pythagoras bana, ukweli huo utakuweka kubaya kama kina lisu na saanane..... Haya majitu hayataki kusikia ukweli ila ukweli husimama na hautetereki unabakia kuwa ukweli.CCM BILA POLICCM NA TISSCCM hawana lao.na 2020 wallah watashaaa, wao wanadhani hela na mapoliccm na ma tissccm wakati wote yako upande wao, unaweza kununua wa tanzania wachache(wajinga) kwa wakati mmoja ila si watanzania wote(wajinga na werevu) wakati wote.OVER.Uchaguzi wowote kama policcm na TISCCM hawajatia maguu lazima iangukie pua.
Furaha ya moyo ni zaidi ya utajiri wa dunia.Hata mkiwabwaga chini hamtafaidika na lolote.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyoKumbe magoli ya mkono yanaanzia mbali hivi?
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .moja Kati ya chaguzi za kusisimua katika chuo cha daressalaam umeisha kwa makada watiifu Frank isack na matalunya evarist kupigwa chini licha ya kutamba lazima washinde hata kwa goli la mkono.
haruna Stanley kutoka kitivo cha Cohu ameibuka kidedea akiungwa mkono na wana CHASO
[HASHTAG]#Solidarity[/HASHTAG] forever
mzee chakubanga from lumumba
Mungu ibariki DARUSOFuraha ya moyo ni zaidi ya utajiri wa dunia.