Udongo mfinyazi

Udongo mfinyazi

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,501
Reaction score
8,690
Jamani mungu fundi
Hakika ametukuka mbora wa waumbaji

hatari%20yamungu.jpeg
 
Angekuwa saizi zile nazopenda sawa mi hizi semi trailer hapana
Mkuu hizi mambo ndio mimi napita nazo, lakini vile viBaby Walker hua naona kama navionea tu nikivibamiza naona kama Vitennis kwa jinsi navikunja, lakini haya maVolvo mzeee nakanyaga mpaka Clutch inapata moto najisemea kimoyo moyo yeeees! khaaaaa.
 
Kwamba bidada huyu ana upaja mkubwa kuliko tumbo chini ya kifua[emoji23][emoji23]
Kazi ipo
 
Ila wakuu, mi binafsi na hisi huu ni ugonjwa jamani,

Yaani kuanzia kiunoni kuja huku juu mwili hauendani kabisa na kuanzia kiunoni kuja chini!

Yaani ni kama malkia wa mchwa, khaaa!!
Kama unateseka basi ni chaputa
 
Kunywa sumu mkuu utamuona soon
hahaha mkuu, naye watu walikuwa wanatupia sana picha zake humu.... ndiyo maana nikauliza yu wapi sasa?
na je huyu "udongo mfinyanzi" wa sasa naye ataishia kuwa "Masogange"?
 
Mkiona mtu anauza pagale lake kwaajili ya hawa viumbe kwakweli msishangae, Wanaume sisi ni wa kuhurumiwa.
 
Back
Top Bottom